shukran mkuuPole sana subiri wataalam.
Sasa mkuu uliponajeJapo hutoamini mm nakupa ukweli ambao upo!
Una tatizo la Jini Mahaba, lipo katika hatua za awali!
Binafsi ilianza hivyo!
Maombi Mkuu!Sasa mkuu uliponaje
daah Yan nakosa raha kabisa mkuuMaombi Mkuu!
njia zisizofaa hazikunisaidia!
Yan naeza kua nimekaa kazin mara vitu vinatembea mara natingishika kwa kasi ya ajabu.....na huyo jini anasababishwa na nini na inakuaje mpaka aniingie mkuuMaombi Mkuu!
njia zisizofaa hazikunisaidia!
Samahani lakini, vipi mtingishiko wake upande wa makalio?Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana
jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Kwanza Pole sana kiongozi, lakini wengi wetu sio wataalam ila ni wazoefu wa magonjwa mbali mbali, hapo kuna uwezekano kuna mafuta kwenye mishipa ya damu ,sasa baada ya kusafiri damu kwa pamoja baada ya ku pampiwa toka kwenye moyo ikifika mahali kwenye mshipa upande kuna mafuta ,damu inatafuta kupita ila kipenyo cha mshipa kinakuwa kidogo ndio hapo unaposikia kama inatembea,ungekuwa una unaufahamu kwenye break system ya gari ungenielewa vizuri.Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana
jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Yan ni viungo vya mwili mara mguu mara mkono au sehemu za siri nyama zinatingushika tena kwa kasi mara nyingine kichwani au pia kwenye macho huku kwenye sehem za kutolea machozUna umri gani? Mara nyingi hizo pia ni dalili za menopause. Kama ni vitu vya moto vinatembea kwenye damu (hot flashes) na umri wako unakaribia kukoma basi ndio dalili yake. Suala la mwili kutingishika siwezi kulisemea maana hujaeleza nini kinatingishika, ni mitetemo ya nyama za mwili au ni mwili mzima kutetemeka kama mtu aliyepigwa na baridi kali??
hahahaSamahani lakini, vipi mtingishiko wake upande wa makalio?
Asante mkuuKwanza Pole sana kiongozi, lakini wengi wetu sio wataalam ila ni wazoefu wa magonjwa mbali mbali, hapo kuna uwezekano kuna mafuta kwenye mishipa ya damu ,sasa baada ya kusafiri damu kwa pamoja baada ya ku pampiwa toka kwenye moyo ikifika mahali kwenye mshipa upande kuna mafuta ,damu inatafuta kupita ila kipenyo cha mshipa kinakuwa kidogo ndio hapo unaposikia kama inatembea,ungekuwa una unaufahamu kwenye break system ya gari ungenielewa vizuri.
mkuu naomba msaada wa tiba maana hili jambo linanisumbua sanahii ni forum ya madaktari kweli?
mbona maelekezo ya kikapuku tu kama sisi waswahili wa kawaida?
mtu anashtuka na vitu vinampitia sijui kucheza, jibu lake jini mahaba?
hamienei tu ktk jukwaa la habari mchanganyiko!
Sawa sasa nimepima vipimo vingi ugonjwa hakunaPole sana, waone watalam wa afya