Mwili kutikisika na vitu kutembea ndani ya mishipa

Asante mkuu
Haina tatizo kiongozi Mwenyezi Mungu akutunze sana,ila jitahidi kufanya mazoezi na kunywa maji ya uvuguvugu kila siku pia jitahidi kutumia pilipili kwenye chakula ili kuongeza joto ya mwili na mafuta kwenye mishipa inaondoka ,hilo tatizo nilikuwa nalo mimi ila kwa saa baada ya kufanya mazoezi na hivyo vitu vingine imeondoka kabisa
 
Asante mkuu kwa ushaur
 
mi
mkuu naomba msaada wa tiba maana hili jambo linanisumbua sana
sijui tiba, ila naona kama huku ulipokuja nako umeingia chaka!
how come madaktari nao walete taarifa za jini mahaba!
nenda tu hospitali uone wataalamu, humu nadhani hata sisi tunaouza matunda nao tunajibia hata hoja za kitaalamu!
 
Yan naeza kua nimekaa kazin mara vitu vinatembea mara natingishika kwa kasi ya ajabu.....na huyo jini anasababishwa na nini na inakuaje mpaka aniingie mkuu

Kama hiyo kitu inakutokea ukiwa kazini tu basi juwa kuna watu wanataka kazi yako....hivyo wanakuyumbisha uje kuacha wakaimu kiti chako.
 
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu

Bwana mshana jr, ebu sikia kilio cha jamaa yetu Tuchki. Naona atapata jibu sawia toka kwako.
 
Pole sana mkuu. Tatizo hilo linatokana aidha na misuli, ama mishipa ya damu, ama neva za fahamu, ama saikolojia tu. Pia linaweza kusababishwa na vyote kwa pamoja.

Chanzo chake: 1.Husababiswa na matumizi makubwa ya kahawa, chai, soda, na energy drinks zote. Vinywaji hivi huongeza metabolism activities kwenye baadhi ya maeneo ya mwili ikiwa ni kwenye misuli ama mishipa ya damu, hivyo kusababisha reaction isiyo ya kawaida na ndipo unapoona hali hiyo ya kutetemeka sehemu mbalimbali. Unatakiwa kupunguza matumizi ya vitu hivyo na utapona kabisa.

2. Husababiswa na mazoezi ama kazi ngumu kulingana na uwezo wa mwili. wakati wa mazoezi misuli hukakamaa ili kuwa na nguvu nguvu hutokana na kuunguzwa Kwa chakula kwa kutumia oxygen (respiration) ambayo husambazwa na damu. Hivyo wakati wa kazi ama mazoezi magumu damu huhitajika kwa msukumo mkubwa ili oxygen nyingi isambazwe. Hapo Sasa mishipa ya damu nayo hujaa damu nyingi zaidi kuliko wakati mwingine. Mishima inakuwa na pressure kubwa kama ilivyo kwa misuli. Unapomaliza kazi ama mazoezi, mapigo ya moyo hurudi kawaida, hivyo pressure ya damu kwenye Mishipa hurudi kawaida na misuli hali kadhalika. Lakini hutokea wakati mambo haya yakaenda kombo, kila kimoja kikamaliza kazi yake kwa Muda tofauti, hapo ndipo hiyo hali ya kutetemeka hutokea. Unatakiwa kufanya mazoezi ama kazi kulingana na uwezo wa mwili wako, usichoshe sana mwili, utapona kabisa.

3.Ukosefu wa vitamin B12, hii huwapata watu wanaotumia sana vileo ama watu wasiokula nyama. Ukosefu wa vitamini hii husababisha uchovu, huathiri mfumo wa neva za fahamu na mapigo ya moyo. Athari hizo kwa pamoja zinaweza kusababisha hali hiyo ya mwili kucheza.

4.Wasiwasi, husababisha tatizo hilo. Mtu anapokuwa na wasiwasi, tezi ya adrino hutoa homoni ya adrino ili kumwezesha Mtu huyo aidha kupambana ama kukimbia. Homoni hiyo hulenga zaidi viuongo vitakavyohusika na shughuli hiyo. Sasa hutokea reaction za misuli, mishipa ya damu na neva za fahamu eneo lile zikashindwa kuelewana. Hivyo undesirable reaction hutokea, ndiyo hiyo kutetemeka kwa mwili. Hii hutokea kwakuwa kunakuwa hakuna hatari ya kweli. Hivyo unatakiwa kujiliwaza kwa kutafututa starehe ya akili, mathalani kwenda beach, kutazama maji kwa muda na kwa umbali mrefu, kuogelea hata kwenye maji ya kina kifupi tu. Kukaaa ndani ya maji kwa muda. Kumbuka hali hii inaweza tokea kipindi huna wasiwasi, kwani inakuwa ilishajijenga awali wakati ukiwa na wasiwasi, symptoms zikatokea baadae.

5.Matatizo ya moyo, husababisha hali hii. Kuna tatizo linaitwa Heart Arrhythmias ambalo huwa ni mfumo mbaya wa umeme unao ratibu mapigo ya moyo hivyo moyo waweza kwenda mbio sana ama taratibu. Kuna tatizo jingine kitaalam linaitwa Premature Ventricular contraction (PVCs), kwa kawaida moyo una mapigo aina mbili yanayofuatana ambayo ni kupokea damu kutoka mwililini na na mapafu(chemba za juu) na kusukuma damu kwenda kwenye mapafu na mwilini(chemba za chini). Sasa hutokana mapigo mengine yakaongezeka aidha juu(atria) ama chini (ventricular ). Haya mapigo ya ziada yasiyo ya kawaida yakitokea kwenye chemba za chini ndiyo huitwa PVCs na huweza sabababisha hali hiyo ya kutetemeka mwili. Unatakiwa kufanya mazoezi na kupata muda wa kupumzisha mwili na akili. Kulala siyo njia pekee ya kupumzisha mwili.Tafuta healthy funny activities. Pia uende Hospitali upime ECG.

6.Multple Sclerosis(MS) hili ni tatizo la neva za fahamu kwenye ubongo na uti wa mgongo. Hili hutibiwa hospitali na neurologist. Hivyo kama utahisi tatizo ni serious waone wataalam hao.

7.Phatom vibrations. Hiili ni tatizo la kisaikolojia ambapo unakihisi kitu kanakwamba kipo lakini ukweli hakipo. Inaweza sababishwa na matumizi ya simu katika hali ya vibration. Mtu akizoea kuweka simu katika vibration mode, akili yake inakuwa very sensitive na even tiny vibrations. Hivyo anaweza akagusa kitu akahisi kuna vibration. Punguza kuweka simu kwenye vibration.

8. Mazoea +wasiwasi+phantom (illusion ). Huenda ulipata tatizo hilo zamani kutokana na moja ya sababu hapo juu. Tatizo hilo lilikuwa na viashiria vyake. Huenda lilishaisha, ila sasa kuna viashiria vipo. Hivyo ukijihisi viashiria, mwili unapata wasiwasi unatengeneza adrino homoni, hapo tatizo linaanza aidha kwa illusion ama real. Unatakiwa usilihofie tatizo hili na utapona kabisa. Kwanza hili tatizo haliui.

Nadhani nimekusaidia kiasi, ukifanya baadhi ya mambo niliyokushauri na bado likiendelea , kama upo Dar nenda Sanitas hospital muone Dr.Hussein. kama upo mikoani nenda hospitali wakupime ECG kwanza. LAKINI NAAMINI KABLA YA KUFIKA KWA MADAKTARI, UKIFANYA NILCHOKUSHAURI UTAPONA KABISA
 
Asante sana mkuu kama kuna ukweli hapa nimeanza kuona mwanga
 
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Pole sana ndugu, hiyi in dalili ya kuqnza kuugua BP/Pressure dawa take ya awali in kupunguza vyakula vya mafuta mengi, sukari, soda, red meat, pombe na pia kuanza mazoez, itaisha taratibu
 
Back
Top Bottom