Mwili kutikisika na vitu kutembea ndani ya mishipa

Mwili kutikisika na vitu kutembea ndani ya mishipa

Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Hizo ni dalili za damu nyingi mkuu
 
Habari zenu wanajamvi....
jaman kuna jambo lisilo la kawaida linanisumbua sana ni kuhusu mwili wangu kutingishika wenyewe na vitu kutembea ndani ya Mishipa na wakati mwili unatingishika huwa unaenda kwa kasi sana

jamanii naombeni msaada je ni ugonjwa gani maana nimepima vipimo vingi Bila kupata majibu
Onana na daktari bingwa wa mishipa hapa utaambulia majibu kizungumkuti
 
Mimi hutingishika machoni,mala kwa chini ya jicho.mala kwa juu ya jicho.vurugu tu
 
Mtu asikudanganye jini mahaba au mahabati. Mwendo wadamu na mapigo yamoyo vinakinzana. Fanya hima upime wingi ea damu cholestrol na umri na uzito km vinaendana. Uliza BMI + presssure na ujazo wa damu. Pole sana
 
Mimi hutingishika machoni,mala kwa chini ya jicho.mala kwa juu ya jicho.vurugu tu
Haya mambo sio kabsa....mwili kutingishika....unaskia midundo tuu mara machoni, mara kwenye mbavu, mara mgongoni.....ni shiidaa sanaa....sijui ni uchuro ama nin
 
Back
Top Bottom