Mwili kutikisika na vitu kutembea ndani ya mishipa

Hizo ni dalili za damu nyingi mkuu
 
Onana na daktari bingwa wa mishipa hapa utaambulia majibu kizungumkuti
 
Mimi hutingishika machoni,mala kwa chini ya jicho.mala kwa juu ya jicho.vurugu tu
 
Mtu asikudanganye jini mahaba au mahabati. Mwendo wadamu na mapigo yamoyo vinakinzana. Fanya hima upime wingi ea damu cholestrol na umri na uzito km vinaendana. Uliza BMI + presssure na ujazo wa damu. Pole sana
 
Mimi hutingishika machoni,mala kwa chini ya jicho.mala kwa juu ya jicho.vurugu tu
Haya mambo sio kabsa....mwili kutingishika....unaskia midundo tuu mara machoni, mara kwenye mbavu, mara mgongoni.....ni shiidaa sanaa....sijui ni uchuro ama nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…