Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

Nimeenda kuchek hiyo video asee inavyoonekana jamaa hakufa ila alikuwa kwenye koma though mm ia naamini mwili unapo cease soul ina kuwa somewhere else
kuwa kwenye coma na to death hakuna utofauti kwani soul huwa inahamia kwenye plane nyingine ya maisha...well done to witness on that
 
This is heavy weight comment,, mbaya zaidi ni wachache sana wanaelewa haya mambo na nchi km za africa wanatumia sana ujinga wa raia kufanya hizo evil issuez zao asee
 
Mkuu unataka kusema hizi nazi za viwandani kama za bkhresa hawatumii nazi kabisa ? yani wanachukua genes za nazi,,embu funguka kidogo hapa mkuu mama kweli sijawahi sikia mzigo wa nazi ukipelekwa huko kwa bahresa

Na vipi kuhusu hizi juisi ambazo unakuta zina ladha kabisa ya embe
 
All in all wanatumia kitu kinachoitwa flavour,usifikiri huwa unakunywa juici ya embe exactly hapana,,?? anayebisha aje hapa anipinge kwa facts bila kupanic tuone ukweli ulivyo,,,,,nanotechnology imefikia hatua ya kutengeneza kila kitu duniani,,,wale jamaaa wanatengeneza genes za flavour..kila kitu duniani under molecular kinaundwa na kuhimiliwa na genes...wanachofanaya ni kupata gene inayohusika na kutengeneza flavour ya kitu then wanaizalisha kwa kutumia machine za PCR under clonning technology then wanachanganya na kemical nyingi tunapata flavoured liquids....

kama unabisha nenda kiwanda cha soda aina ya fanta orange kama utaoana magari yanashusha machungwa pale,,ukikuta gari lolote linashusha machungwa uje nitakupa anything of high value from my life...ni kampuni moja tu duniani [coca-cola company] ndo linazalisha coca-coal origina.coca-cola iliyopo ulaya ni tofauti na unayokunywa wew huku bongo au africa,,,

wew unakunywa flavour wao wanakunywa original ingredient na ndo mana kuna siri kubwwa sana juu ya coca-cola company mpaka sasa formula inayotumiwa kutengenezea coca-cola origina imefichwa ...only two people know how the formula is but they are guided by high security from exposing the truth...coca-cola ndo kampuni inayoongoza kwa mauzo ya drinks duniani kutokana na usiri wake mzito kwenye ingredients.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…