KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unawashwa wewe jambakuzi? Tih tih tih tih.... Mara ya mwisho umeoga lini? Kwikwikwikwi.... Chezea Kova weyeeeeee
Asante sana LOCAL SPONSOR . Nitaitafuta iyo bathrobe mkuu.
Since umesema unawashwa baada ya kuoga nadhani mzizi wa matatizo unaanzia hapo!
- Unatumia mafuta baada ya kuoga?
- Ukioga sana unakausha mafuta naturally yaliyopo kwenye ngozi...Kwahio ngozi ina kuwa kavu na hali hio inasababisha muwasho....Inasaidia sana ukitumia fatty cream au ointment ili kuirejesha ngozi katika hali yake ya awali!
- Jaribu kubadili sabuni unayotumia kuoga inawezekana unareact na sabuni unayotumia...Sabuni nyingi zina maperfume na makorokoro mengi ambayo sio mazuri kwa ngozi...Tumia sabuni zenye low ph 5,5 na ambazo zipo neutral au zenye milde perfume...Narecommend DOVE