Mwili unawasha balaaa!

Mwili unawasha balaaa!

daaah ni hatar kwakweli mipia nasumbuliwa sana natatzo hlo nanilikuwa cjagundua tatzo ninini lakn baada ya kugoogle tena sasa hiv ndo nakutana nahi mada hapa lakn nimekuwa nikioga maji yamoto ndo nawashwa sehemu za mapaja mgongon na miguuni lakn mwili ukikauka2 naacha kuwashwa kabsa
 
Hoyo siyo Tiba kiongz mm nina Miaka 6 na hili tatizo njia zote dawa zote nimetumia wap?
Sasa hv moyo wangu hautulii, Ila mwanz daktari aliniambia Uzio/ aleji uleta Uoga ni kwel kuna kipnd na kuwa na uogop hata mtt mchanga bila sababu. Tu
Mimi nashauri Tutumie albart soda labd itasaidia na miziziz ya Kienyeji ndo tiba ila siuji mafuta hamana kitu.....!
Hiyo unayozungumzia ww ni Pumu ya Ngozi yaani ECZEMA
Since umesema unawashwa baada ya kuoga nadhani mzizi wa matatizo unaanzia hapo!

  • Unatumia mafuta baada ya kuoga?
  • Ukioga sana unakausha mafuta naturally yaliyopo kwenye ngozi...Kwahio ngozi ina kuwa kavu na hali hio inasababisha muwasho....Inasaidia sana ukitumia fatty cream au ointment ili kuirejesha ngozi katika hali yake ya awali!
  • Jaribu kubadili sabuni unayotumia kuoga inawezekana unareact na sabuni unayotumia...Sabuni nyingi zina maperfume na makorokoro mengi ambayo sio mazuri kwa ngozi...Tumia sabuni zenye low ph 5,5 na ambazo zipo neutral au zenye milde perfume...Narecommend DOVE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom