darthvader
Member
- Mar 17, 2018
- 77
- 64
Akikupa K je??Simpendi huyu binti wa katikati.
kwani kulikuwa na ulazima wa Jokate kuhudhuria huo msiba???Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa kidoti hajahudhuria kuagwa kwa mwili wa Agness,vipi kuna aliyemuona?
@blaza musa samahani sana kama utakwazika na haya maneno yangu ila ishu zingine tuwaachie jinsia pinzaniKuna taarifa zisizo rasmi kuwa kidoti hajahudhuria kuaga mwili wa Agness,kuna aliyemuona?
@blaza musa samahani sana kama utakwazika na haya maneno yangu ila ishu zingine tuwaachie jinsia pinzani[/QUOTE
Sawa mzee
Right. Ni Utengule ya Mbeya Vijijini, sio ya MbaraliMasogange anatokea Utengule ya Mbalizi, Njia ya kuelekea Mkwajuni Chunya.
Nmependa ujumbe wako had nkasahau Kama tupo msibani mtandaoniRIP aggy..
It's too sad, umeondoka mapema mno huku malengo yako mengi hujatimiza!
Ila nakupa hongera kwa kumjali nzazi wako kumjengea nyumba. Ambayo ni ndoto ya kila mwanamke kuwajengea wazazi wake...
RIP + Hongera...
Kufa katika Kristo ni Faida...!
Kakuelewaje wakati hajajibu kituAsante sana kwa kunielewa
Mkuu naona wataka kukuza mwenyeweAna miaka mingapi?
Hapana mkuu, nilitaka nijue tu mkuu maana hata hivyo sikijua kama alikuwa na mtotoMkuu naona wataka kukuza mwenyewe
zamaradiSteve Nyerere ndiyo mweka hazina wa rambirambi??
Okei, lkn sio mbaya pia hata ukifanya hivyoHapana mkuu, nilitaka nijue tu mkuu maana hata hivyo sikijua kama alikuwa na mtoto
KajibuKakuelewaje wakati hajajibu kitu
KasemajeKajibu