Ushahudhuria misiba ya wapare?Keshenzi haka katoto yaan msibani akakosa hata khanga
Wengi wao hujikwatua vizuri kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahudhuria misiba ya wapare?Keshenzi haka katoto yaan msibani akakosa hata khanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Unajua kusoma saa kwa masaa 24 usiniambie kama hujafika hata la Tatu C
Mkuu kuna utengule pia huku mbalizi njia ya kwenda chunyaUtengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.
Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.
Rest in Piece Agnes Masogange.