Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Msiban mbeya
30590469_378411995972245_5760725937750540288_n.jpg
30856505_454490754986821_9139636980789805056_n.jpg
 
Hivi wasanii huwa wanapaiga picha wao?
Shishi mmewe kamuacha na nani
 
Msanii Shilole akiwa jikoni kupika kwenye msiba wa marehemu Agnes Gerald 'Masogange' uliopo Kijiji cha Mbalizi ii Wilaya ya Mbeya
30590724_583107348742188_1208063146611179520_n.jpg
30830027_196033907675107_3367450897767464960_n.jpg
30592341_2048155982119251_7115477773891665920_n.jpg
 
MWILI wa Agnes Gerald tayari umewasili nyumbani kwao eneo la Utengule-Mbalizi. Mbeya
30593110_619583648393887_2688428022947643392_n.jpg
30830411_1113011782173874_1575362900019642368_n.jpg
30602122_548434942219327_3495456050063081472_n.jpg
30590592_2033277300330051_5258312062307663872_n.jpg
 
Mtoto wa Marehemu Agnes Masogange Akiwa Msibani... Ni Mwenye majonzi na Huzuni Sana
31043062_2137947469825760_4867788359872806912_n.jpg

Mzazi mwenza na Mtoto wa Marehemu Agnes Masogange Pichani wakilia Kwa Uchungu Sana kutokana na Msiba Huu mzito
30603626_1976066985984792_6241888499696402432_n.jpg
 
Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.

Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.

Rest in Piece Agnes Masogange.
Mkuu kuna utengule pia huku mbalizi njia ya kwenda chunya

Je umejuaje wa huko
 
Naona UVCCM mbeya wanatafuta kiki kwa pikipiki mpaka kwenye misiba
30591591_2119732544929734_1811901467863285760_n.jpg
 
Back
Top Bottom