Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Kifo ni somo tosha kwa sisi tulio baki tukiendelea kupumua, tutende mambo mema tuachane na mambo yasiyo mpendeza aliye tuumba,
 
Aisee nimeona picha za Tunda akiwa kwenye msiba wa Masogange kwa kweli bora angebaki nyumbani... Mwanamke unaejielewa huwezi kwenda msibani vichips vyakoo umevaa suruali imebanaa na kishati sijui cha wapi...!! Naona kaenda kuuza sura tu pale aonekane nae alikuwepo.. Alafu kapo busy kanatumia simu tuu...!! [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]...View attachment 753289
Acha umbea,mwanamme hafai kuwa mmbea,hayo ni mavazi tu,!!muombea marehemu dua mungu amrehemu hilo ndio jambo la muhimu na msingi kwa hili tokeo
 
Masogange alikuwa wife material. Huu msiba ni wetu wanaume wote
 
Hizi nguvu walizowekeza hapa leo ,wangeyafanya hayo kipindi yupo hospitali, hakika leo tungekuwa naye..
 
Nime msikia baba yake anadai aliongea nae kwa simu dakika za mwisho na binti akamuaga bye bye!! Then simu alipokonywa alafu nduguyake akaanza kulia!! Baadae wakampigia sim wakamwabia ashafariki:

It seems she knew she was dying!

Kwa maelezo ya yule mzeee (baba) there is something wrong with the cause of her death!!!
Kwamba alijua what happen
 
Acha umbea,mwanamme hafai kuwa mmbea,hayo ni mavazi tu,!!muombea marehemu dua mungu amrehemu hilo ndio jambo la muhimu na msingi kwa hili tokeo
Vp shemela nini? Kameshindwa hata kujisitiri na khanga msibani kama kanavizia wanaume kauze mbunye check vikuku miguuni kalidhamiria haka
 
Kwamba alijua what happen
Yea it seems she knew what was killing her mybe the desase or whatever, but She knew she was dying!!! Maana yule mzee (baba ake) amesema alipompigia simu mara ya mwisho agness alipokea and she said to him "baba bye bye"
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa kidoti hajahudhuria kuaga mwili wa Agness,kuna aliyemuona?
 
Vp shemela nini? Kameshindwa hata kujisitiri na khanga msibani kama kanavizia wanaume kauze mbunye check vikuku miguuni kalidhamiria haka
Hayo ni mawazo yako mkuu,...hamna dini inayosema ukienda msibani lazima uvae mavazi ya aina fulani...
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa kidoti hajahudhuria kuagwa kwa mwili wa Agness,vipi kuna aliyemuona?
 
Back
Top Bottom