luciferoriginal
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 495
- 461
rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea,mwanamme hafai kuwa mmbea,hayo ni mavazi tu,!!muombea marehemu dua mungu amrehemu hilo ndio jambo la muhimu na msingi kwa hili tokeoAisee nimeona picha za Tunda akiwa kwenye msiba wa Masogange kwa kweli bora angebaki nyumbani... Mwanamke unaejielewa huwezi kwenda msibani vichips vyakoo umevaa suruali imebanaa na kishati sijui cha wapi...!! Naona kaenda kuuza sura tu pale aonekane nae alikuwepo.. Alafu kapo busy kanatumia simu tuu...!! [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]...View attachment 753289
Yaani huyu le mutuz kama mtoto wa miaka 17.....
Kabeba nywele na miwani yake, Hamjaona Aunt Ezekiel alivyobinua mdomo kama kanywa maziwa ya mende.
Ahsante mkuu kwa kunifahamishaAlisema yuko Iringa ataenda kuzika
Mh hii presha, ndio maana marehemu alikuwa anatumika kwa matumizi sahihi pekee ya mwanaume.Masogange alikuwa wife material. Huu msiba ni wetu wanaume wote
Kwamba alijua what happenNime msikia baba yake anadai aliongea nae kwa simu dakika za mwisho na binti akamuaga bye bye!! Then simu alipokonywa alafu nduguyake akaanza kulia!! Baadae wakampigia sim wakamwabia ashafariki:
It seems she knew she was dying!
Kwa maelezo ya yule mzeee (baba) there is something wrong with the cause of her death!!!
Vp shemela nini? Kameshindwa hata kujisitiri na khanga msibani kama kanavizia wanaume kauze mbunye check vikuku miguuni kalidhamiria hakaAcha umbea,mwanamme hafai kuwa mmbea,hayo ni mavazi tu,!!muombea marehemu dua mungu amrehemu hilo ndio jambo la muhimu na msingi kwa hili tokeo
Yea it seems she knew what was killing her mybe the desase or whatever, but She knew she was dying!!! Maana yule mzee (baba ake) amesema alipompigia simu mara ya mwisho agness alipokea and she said to him "baba bye bye"Kwamba alijua what happen
Hayo ni mawazo yako mkuu,...hamna dini inayosema ukienda msibani lazima uvae mavazi ya aina fulani...Vp shemela nini? Kameshindwa hata kujisitiri na khanga msibani kama kanavizia wanaume kauze mbunye check vikuku miguuni kalidhamiria haka