Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Kati ya misiba ya mastaa huu watu hawana mzuka nao kabisa sijui kwanini?
 
30855909_636020053398933_466593642035806208_n(1).jpg
 
Pumzika kwa aman Masogang.

Tunaomba wasifu wa marehemu Masogang.
 
Mbona RC PAUL MAKONDA hayupo??
Au marehemu hakuwa mkazi wa mkoa wake yaani Dar es Salaam ya Makonda?
R.I.P AGNESS!
 
Back
Top Bottom