Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

bila kumsahau lemutuz mwisho kabisaa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwenyekiti Wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri Denis James Leo Aprili 22, 2018 Ameungana Na Familia, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Katika Kuaga Mwili Wa Msanii Maarufu Nchini Bi. Agnes Gerald (Masogange) Katika Viwanja Vya Leaders Club Jijini Dar Es Salaam.
 
Basi yule mange atasema hii ni kiki yakuzima maandamano na wiki hii jiji la Tanzania kuna zekezeke la simba na yanga ,mpaka tarehe 29 (Hapa napo anaweza sema mpango wa makonda).
Hapana inakuja kampeni ya lazima kwa wanaume wa dar kupima tezi dume na wanaoshindwa kudunga mimba wake zao
 
RIP Agnes..
Ila hawa wasanii wasilete usanii tu kwenye machungu yetu..
 
Umekosea Mkuu...ni utengule usongwe kata ya mbalizi mbeya vijijini. Wenyeji wa huko ni wasafwa.. Wakulima wa mahindi, maharage, kahawa. viazi aina zote na pia ni wafugaji wazuri tu.MAREHEMU NI MSAFWA ORIGINAL KUTOKA KWA WAZAZI WOTE.
Marehemu kazaliwa utengule karibu kabisa na kiwanda chetu cha nyama kijulikanacho kama Tanganyika parkers pia ni jirani wa ndugu yetu kmjenzi wa nyumba 75 aliekua mkurugenz TRA alietumbuliwa na magufuli si mbali sana kutok katikati mwa mji wa mbeya nauli mpaka nyumbani kwao ni shilingi buku mpaka mlangoni ukitokea mbeya mjini sehemu ikiwa na mazingira halisi ya ukijani
 
barnabaclassic akiimba moja ya wimbo wa maombolezo lakini ilikuwa ngumu kwake kuweza kuumaliza jinsi uchungu huzuni vilivyompata ukizingatia marehemu Agness Masogange alivyokuwa ni mtu wake wa karibu sana na kama unamkumbuka ile video yake ya [HASHTAG]#Magubegube[/HASHTAG] kipenzi chetu alihusika kuinogesha. REST IN PEACE MASOGANGE
 
Aisee nimeona picha za Tunda akiwa kwenye msiba wa Masogange kwa kweli bora angebaki nyumbani... Mwanamke unaejielewa huwezi kwenda msibani vichips vyakoo umevaa suruali imebanaa na kishati sijui cha wapi...!! Naona kaenda kuuza sura tu pale aonekane nae alikuwepo.. Alafu kapo busy kanatumia simu tuu...!! [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…