Tunda ni Nani Wakuu?? Sorry kwa swali langu
Mkuu sio huko,ni kule mbalizi.Kuna utengule pia kule.Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.
Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.
Rest in Piece Agnes Masogange.
😀😀😀Kipumbavu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah kweli naomba RC awapime Tezi Dume inaonekana kuna tezi mwilini haiko sawa.
VIP alikuwa akija huko kijijini kuwasalimia,VIP ule mzigo alikuwa toka bush au kaupatia town.Masogange anatokea Utengule ya Mbalizi, Njia ya kuelekea Mkwajuni Chunya.
Utengule unayoisema siyo hiyo. Yeye kwako ni Utengule ya Mbalizi Mbeya njia ya kwenda mkwajuni Chunya. Hiyo Utengule ya Usangu ni ya kwako. Hata hivyo pole sana kwa walioguswa na msiba wa MasogangeUtengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.
Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.
Rest in Piece Agnes Masogange.
I ain't cry for this bi-tc-h!!!she used to sale crack to our kids!! Rih bitch!!!RIP aggy..
It's too sad, umeondoka mapema mno huku malengo yako mengi hujatimiza!
Ila nakupa hongera kwa kumjali nzazi wako kumjengea nyumba. Ambayo ni ndoto ya kila mwanamke kuwajengea wazazi wake...
RIP + Hongera...
Kufa katika Kristo ni Faida...!
Mkuu sio huko,ni kule mbalizi.Kuna utengule pia kule.
Duu Numbisa
Nani huyu
Sijamuona bashite labda anamuwakilishaNimemuona le tumboz kafata nini kwenye high table??
Duu Numbisa
sasa huyo mwenye black nae yuko msibani kweli?
Yah exactly barabara ya kwenda Mkwajuni kabla ya kufika Itimba.Utengule unayoisema siyo hiyo. Yeye kwako ni Utengule ya Mbalizi Mbeya njia ya kwenda mkwajuni Chunya. Hiyo Utengule ya Usangu ni ya kwako. Hata hivyo pole sana kwa walioguswa na msiba wa Masogange
Nimemuona le tumboz kafata nini kwenye high table??
Hki ni kizazi cha dot com sio cha kolomijeDuh kweli watu wanamajonzi na wameguswa na msiba mpaka wamepata mda wa kuvaa vikuku