Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.

Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.

Rest in Piece Agnes Masogange.
Mkuu sio huko,ni kule mbalizi.Kuna utengule pia kule.
 
Utengule Usangu, unaingilia Igurusi, barabara ya Iringa - Mbeya, unafika kijiji cha Usangu then unaenda sasa kijiji cha Utengule, kwenye bonde la Usangu maarufu kwa kilimo cha Mpunga, ufugaji wa mbuzi na Ng'ombe, wakazi wake wengi wao wenyeji wa Mbeya, wasangu, wasafwa, wanyaki na wasukuma waliohamia na kuweka makazi yao katika hili bonde wakilima mpunga na mahindi na kufuga, nimepata kuishi kwa muda katika hili bonde.

Sikujua kama Masogange ni mzaliwa kutoka katika hiki kijiji.

Rest in Piece Agnes Masogange.
Utengule unayoisema siyo hiyo. Yeye kwako ni Utengule ya Mbalizi Mbeya njia ya kwenda mkwajuni Chunya. Hiyo Utengule ya Usangu ni ya kwako. Hata hivyo pole sana kwa walioguswa na msiba wa Masogange
 
Mwenyezi Mungu mpokee mwanao huyu(AGNES G. MASOGANGE katika ufalme wako,msamehe na uyasahau mabaya yote aliyoyatenda!!!!!
 
9184e6e3b337e5eadef4cf32291ab5e2.jpg
RIP aggy..
It's too sad, umeondoka mapema mno huku malengo yako mengi hujatimiza!
Ila nakupa hongera kwa kumjali nzazi wako kumjengea nyumba. Ambayo ni ndoto ya kila mwanamke kuwajengea wazazi wake...
RIP + Hongera...
Kufa katika Kristo ni Faida...!
I ain't cry for this bi-tc-h!!!she used to sale crack to our kids!! Rih bitch!!!
 
Utengule unayoisema siyo hiyo. Yeye kwako ni Utengule ya Mbalizi Mbeya njia ya kwenda mkwajuni Chunya. Hiyo Utengule ya Usangu ni ya kwako. Hata hivyo pole sana kwa walioguswa na msiba wa Masogange
Yah exactly barabara ya kwenda Mkwajuni kabla ya kufika Itimba.
Mkuu wewe kweli mwenyeji.
 
Back
Top Bottom