Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

Weka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.
Mkuu usifanye utani ktk misiba ya watu. Km hujaguswa kaa kimya ni hekima
 
Attachments

  • oversize.PNG
    oversize.PNG
    69.7 KB · Views: 42
Wakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.
-Ikumbukwe kuwa Belle 9 ndiyo aliyemfanya Agnes akawa maarufu sana hapa Tanzania.
Jina "Masogange";lilitoka na wimbo wa Belle 9 ambao Agnes ndiyo alikuwa Video Queen mara baada ya kutokelezea kwenye Video ya nyimbo ya Belke 9 inayofahamika kama "Masogange" kuanzia hapo Mashabiki wa Msanii Belle 9 wakaanza kumwita "Agnes Masogange" kwa ufupi tu ndiyo hivyo.
Roho yake (Agnes Nasogange) ipumzike kwa Amani huko alikotangulia.🙁🙁😡
 
Wewe umejibu?

Au umeelezea historia ya jina la masogange?
 
Miandishi yoote myekundu Kumbe nawe huna jibu
 
wabongo bhana shida tupu.
 
Ni lazima awepo!?
 
Back
Top Bottom