Kwao ndo wapo hivyoVIP alikuwa akija huko kijijini kuwasalimia,VIP ule mzigo alikuwa toka bush au kaupatia town.
Mkuu usifanye utani ktk misiba ya watu. Km hujaguswa kaa kimya ni hekimaWeka Picha kwao Mzee,vip akija huko bush ule mzigo akija nao madaraja hayapasuki huko,au ardhi kutitia maana huku mjini akipita ni mafuriko sijui huko bush,haki Mungu asingewachukua wenye faida duniani.
Kakufanyia nini kinacho kufanya usimpende?Simpendi huyu binti wa katikati.
Sio Bella huyo naona umemfananisha.Namuona Mr over size akiwa na christian Bella ....yaani Mr over size anapendaga kuuza sura yeye na Lemutuz yaani sijui awa watu mwisho wao utakuwa UPI.
Masikini dahBinti yake
View attachment 753360
Huyo mwana mwenye kapelo ani ishi kimara stop over long tym na swaga zake za old school hip pop
Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.Wakuu mlioko dsm na vitongoji vyake na hata wale walioudhuria msiba wa mrembo masogange nilikuwa naomba kufahamishwa kama msanii wa bongo fleva Belle 9 alihudhuria kwenye msiba wa masogange
Wewe umejibu?Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.
-Ikumbukwe kuwa Belle 9 ndiyo aliyemfanya Agnes akawa maarufu sana hapa Tanzania.
Jina "Masogange";lilitoka na wimbo wa Belle 9 ambao Agnes ndiyo alikuwa Video Queen mara baada ya kutokelezea kwenye Video ya nyimbo ya Belke 9 inayofahamika kama "Masogange" kuanzia hapo Mashabiki wa Msanii Belle 9 wakaanza kumwita "Agnes Masogange" kwa ufupi tu ndiyo hivyo.
Roho yake (Agnes Nasogange) ipumzike kwa Amani huko alikotangulia.πππ‘
Inaonesha hakuwa na mchango wa kununulia sare ya deraDuh kweli watu wanamajonzi na wameguswa na msiba mpaka wamepata mda wa kuvaa vikuku
Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.
-Ikumbukwe kuwa Belle 9 ndiyo aliyemfanya Agnes akawa maarufu sana hapa Tanzania.
Jina "Masogange";lilitoka na wimbo wa Belle 9 ambao Agnes ndiyo alikuwa Video Queen mara baada ya kutokelezea kwenye Video ya nyimbo ya Belke 9 inayofahamika kama "Masogange" kuanzia hapo Mashabiki wa Msanii Belle 9 wakaanza kumwita "Agnes Masogange" kwa ufupi tu ndiyo hivyo.
Roho yake (Agnes Nasogange) ipumzike kwa Amani huko alikotangulia.πππ‘
Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.
-Ikumbukwe kuwa Belle 9 ndiyo aliyemfanya Agnes akawa maarufu sana hapa Tanzania.
Jina "Masogange";lilitoka na wimbo wa Belle 9 ambao Agnes ndiyo alikuwa Video Queen mara baada ya kutokelezea kwenye Video ya nyimbo ya Belke 9 inayofahamika kama "Masogange" kuanzia hapo Mashabiki wa Msanii Belle 9 wakaanza kumwita "Agnes Masogange" kwa ufupi tu ndiyo hivyo.
Roho yake (Agnes Nasogange) ipumzike kwa Amani huko alikotangulia.πππ‘
[emoji38][emoji38][emoji38] yetu machoWema sepetu bado sijaona picha yake au hakuwepo?
Numbisa umeanza mambo yako,hii umeitoa wap naamini sio ya msiban[emoji23] [emoji23]
Ni lazima awepo!?Swali lako ni zuri sana Mkuu lakini asilimia kubwa ya watu waliojibu swali lako hawajatoa jibu sahihi labda ni kwa sababu hawajui chochote kuhusu Belle 9 na Agnes.
-Ikumbukwe kuwa Belle 9 ndiyo aliyemfanya Agnes akawa maarufu sana hapa Tanzania.
Jina "Masogange";lilitoka na wimbo wa Belle 9 ambao Agnes ndiyo alikuwa Video Queen mara baada ya kutokelezea kwenye Video ya nyimbo ya Belke 9 inayofahamika kama "Masogange" kuanzia hapo Mashabiki wa Msanii Belle 9 wakaanza kumwita "Agnes Masogange" kwa ufupi tu ndiyo hivyo.
Roho yake (Agnes Nasogange) ipumzike kwa Amani huko alikotangulia.πππ‘
Hebu nitag kwenye huo uzi,Au kama vp tupia link hapa tusome hizo tuhumaNimeona tuhuma kwenye uzi mmoja hivi.