Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' wawasili Mbeya tayari kwa mazishi

Kwetu siyo Tabora/Rukwa na wala mimi siyo mfipa. Mimi siishi huko unakodhani, nimeuliza sisi tusio na vyama tutazikwaje wewe unakuja na mambo ya ufipa. Nani kaenda Rukwa au ndo unakoishi?

Hahahahahaha hahahahahaha, lugha gongana
 
He he he he
watu wameenda kuleta ukada mpaka kwenye msiba, wakati akiwa hai hawakumpa hata mia ya panadol???
Kweli maisha haya bila unafiki hayaendi.

Hapana Mkuu wako sahihi, wametusaidia kujua uahiriki wa UVCCM kama wasafirishajiwa Ngada!
 
kwani huu msiba wa chama mbona sare za ccm sasa yani hawa jamaa hamnazo sana
 




jamaaa mshiba wa aibu umekata kabisa yani nimecheka kama mazuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila CCM saa nyingine mnatia sana aibu. Yaani kituko!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh nahisi hata kashfa ya kubeba marobota ya madawa ya kulevya Masogange alisingiziwa tu kwani CCM wanauza madawa ya kulevya? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wanatia aibu indeed kuparamia maiti [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwetu siyo Tabora/Rukwa na wala mimi siyo mfipa. Mimi siishi huko unakodhani, nimeuliza sisi tusio na vyama tutazikwaje wewe unakuja na mambo ya ufipa. Nani kaenda Rukwa au ndo unakoishi?
Wewe nawe naona ni mgeni jf! Ufipa maana yake chadema,makao makuu ya chadema yapo kinondoni mtaa wa ufipa ndio maana wanawaita ufipa,na ccm japo makao makuu yapo dodoma ila ofisi ndogo zipo kariakoo mtaa wa lumumba ndio maana wanaitwa lumumba fc a.k.a buku 7 mfano wa lumumba fc buku 7 ni kama vile barbarosa,rutashobollwa,coco chanel na takataka nyingine
 
Majizi CCM yanatumia fursa vizuri msibani, ila cha muhimu yakae mbali na rambirambi tu
 

Mkuu unamtafuta coco wa watu hahahahahaha, atakuja na broken yake ya kimaandishi hapa usimuelewe ngoja nikae pembeni hahahaha.
 
Shigongo sasa anazidi kutengeneza pesa na gazeti lake la udaku,huu mwezi tutazidi kupata series za Masogange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…