Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' wawasili Mbeya tayari kwa mazishi

Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' wawasili Mbeya tayari kwa mazishi

hivi Agy alizaliwa peke yake?hatujaona Dada zake au kaka zake
 
Kwao wapo watano walikuwepo ila msiba ulivamiwa na watu wengi hasa green guards ,wasanii hivyo ndugu wakasahaulika kiaina
hivi Agy alizaliwa peke yake?hatujaona Dada zake au kaka zake
 
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
kwa namna ya pekee kabisa nawapa pole UVCCM na Green Guard kwa kufiwa na mwenzenu Agnes Masogange.

Awali niliwapa pole wasanii tu nikawasahau ninyi nduguze muhimu. Nimetambua uwepo wenu hususani Mbalizi Mbeya ambapo vijana wa Green Guard waliokuwa wamevalia kijani walibeba jeneza kwa huzuni kubwa.

Najua wengine mlimkana enzi akiwa na tuhuma za madawa ya kulevya mkisema UVCCM hawawezi hata kutuhumiwa lakini walau mmeikubali maiti yake.

Poleni sana Green Mamba...sorry I mean Green Guard kwa kuulinda vyema na kuusitiri mwili wa dada yetu.

Sisi vijana wa Mbeya tumewapenda kwa moyo huo ila upendo wetu kwenu si kama tumpendavyo Sugu our genius hustler.

Mungu awabariki!
Poleni jamani
 
Back
Top Bottom