Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Yn serikali iingie hizo gharama wakati hata akiletwa huko Kenya bado atakuwa ni mfu.?Ni gharama sana labda serikali iwasaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yn serikali iingie hizo gharama wakati hata akiletwa huko Kenya bado atakuwa ni mfu.?Ni gharama sana labda serikali iwasaidie.
Kwani wale vijana waliouawa Israel vipi? Ivi walikuja?Wakenya wametuzidi sana
Sisi hapa tungeanza kulialia kwa mama Samia
Alikuwa na demu anakula uteleziKifo cha kujiona kabisa safari hii naondoka daaa 😢!.
Nilisona jamaa kabakiza mita chanche afike mwisho au kileleni but utelezi ukamfikisha mwisho na hakuna msaada wowote do!.
Kufanikiwa kufariki?? Sema waliotokea kufariki/ waliofariki. Hakuna kufanikiwa kwenye matatizo.katika watu zaid ya mia tatu waliofanikiwa kufariki huko mlimani miili miambili imeachwa huko sio kitu kipya
maisha mnayachukulia sirias sana ndio maana mashambulio yamoyo yameongezeka sanaKufanikiwa kufariki?? Sema waliotokea kufariki/ waliofariki. Hakuna kufanikiwa kwenye matatizo.
Serikali inayojitambua haiwezi kushiriki hasara ya aina hiyo.Ni gharama sana labda serikali iwasaidie.
Badilisha milliioni 9 ya Kenya kuja ela Tanzania ni karibu million 180 ya Tanzania. Ni pesa nyingi fedha yao ina thamani kubwa.Siyo kwa Ubaya,lakini hawa jirani zetu si huwa wanajinadi kuwa wana maisha mazuri na pesa nyingi?? Sasa mil 9 kwao kitu gani kshindwa kuuchukua mwili wa ndugu yao?? Ukizingatia huyo ndugu yao si mtu wa kawaida,maana yake kama pesa alikuwa nayo😆😆😆kumbe bana "mvua ikinyesha ndiyo utajua wapi panavuja"
Relax tajir hiyo ni kawaida kwa watu kupanda na kushuka bila oxygen ya ziada, lakin pia kuna watu hawaogopi kifo ndio maana they risk it allSome kenyans like vi sifa sifa vi sivyo na mpango ..ukisha panda bila oxygen Ndio uandikwe kwenye news paper ama.
Ila kifo kila mahali, naogopa zaidi usafiri wetu kuliko kupanda mlima maana hapo ndio kifo nje njeKifo cha kujiona kabisa safari hii naondoka daaa 😢!.
Nilisona jamaa kabakiza mita chanche afike mwisho au kileleni but utelezi ukamfikisha mwisho na hakuna msaada wowote do!.