Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Ina maaana askar hawakufanya revenge. Alikuwa peke yake tu.Hatari ni pale mwenye bunduki anapouliwa na mkuki.
Maisha hayana formula.
Kwaheri kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maaana askar hawakufanya revenge. Alikuwa peke yake tu.Hatari ni pale mwenye bunduki anapouliwa na mkuki.
Maisha hayana formula.
Kwaheri kamanda.
nimeimagine maumivu yake....aisee apumzike kwa amanidont borrow a knife in a gunfight..
mshale unauma jamani achen kbs..
nilipigwa mshale pajani kwa bahati mbaya..
bora upigwe risasi.
yaani mshale ulishikilia paja km nyuzi ya gitaa.ukiugusa unalia diii km gitaa la besi
[emoji38][emoji38][emoji38]Hatari ni pale mwenye bunduki anapouliwa na mkuki.
Maisha hayana formula.
Kwaheri kamanda.
Najaribu kusoma msalama kwenye sanduku Tarehe ya kufa naona ni picha sio ya zamani.Ni askari namba ngapi? Bado mnaamini watu huwa wanakubali utapeli wa hivyo kirahisi? Polisi wa kawaida asafirishwe kwa ndege?
Acha upopoma,hiyo ni caravan,ni Mali ya TANAPA na hii ni issue ya dharura hiyo ndege ina uwezo wa kubeba watu 12 pia ina nafasi ya kubeba mizigo kadhaa hata jeneza mbili zinaingia kwa wakati mmoja,naona hichi kifo kamanda mpiganaji umekifutahia sana,lakini naamin furaha yako ipo siku utaijutia mbuzi,nenda Musoma kamuage usafishe roho yako mbayaNi askari namba ngapi? Bado mnaamini watu huwa wanakubali utapeli wa hivyo kirahisi? Polisi wa kawaida asafirishwe kwa ndege?
Bro husibishaji na hao wasengerema ndege yenyewe ina chata ya 5H TNP ubavuni ikimaanisha ni Mali ya TANAPATumia basi ubongo hata kidogo, kwa hiyo hizo picha wametoa wapi? Huyo mwekezaji wa eneo la karibu hala ndege ndogo ambazo anaweza kutoa kama maaada na kuguswa kwake kwa msiba huo?
Soma hata msalaba jamani mbona msalaba umeandikwa tarehe ya kuzaliwa 1986 na kufa tarehe 10/6/2022 rip? Mnataka nini nyinyi wamasai jamani?Picha wametoa wapi? Ni wapi unaweza kudhibitisha hizo picha ni za leo? Ogopa matapeli.
Ndo Jeshi linavo sema brooNa maaskari wao ni kufata order tu, wakati mwingine wanakuwa wajinga kweli.