Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe.

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 leo Nov 22, 2024

Pude alifariki katika ajali ya jengo la ghorofa kuporomoka Kariakoo iliyotokea Novemba 16, 2024 Jijini Dar es Salaam.
WhatsApp Image 2024-11-26 at 15.45.32_41987170.jpg

WhatsApp Image 2024-11-26 at 15.45.31_7432b13b.jpg

WhatsApp Image 2024-11-26 at 15.45.30_9caa00d1.jpg

WhatsApp Image 2024-11-26 at 15.45.31_b58a0ead.jpg
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe.

Pude alifariki katika ajali ya jengo la ghorofa kuporomoka Kariakoo iliyotokea Novemba 16, 2024 Jijini Dar es Salaam.
r.i.p Pude
 
#PICHA Mwili wa Brigita Mbembela mdogo wa marehemu Neema Sanga, waliofariki dunia baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa mnamo Novemba 16, 2024, katika eneo la Kariakoo Dar es Salaam umeagwa hii leo Novemba 26 katika kanisa la KKKT Tunduma mkoani Songwe na unatarajia kuzikwa muda mfupi ujao katika makaburi ya Tunduma.

1732636692012.jpg
 
Attachments

  • 1732636692012.jpg
    1732636692012.jpg
    263.6 KB · Views: 6
Mungu Mwenyezi awahurumie marehemu wote waliopatwa na mauti ktk tukio hili awapumzishe kwa amani na akawe faraja kwa wote walioguswa kwa namna moja au nyengine.

Tunaopumua tusisahau “hatujui siku wala saa atakayokuja kuchukua vyake” ni vyema twende kwa step
 
#PICHA Mwili wa Brigita Mbembela mdogo wa marehemu Neema Sanga, waliofariki dunia baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa mnamo Novemba 16, 2024, katika eneo la Kariakoo Dar es Salaam umeagwa hii leo Novemba 26 katika kanisa la KKKT Tunduma mkoani Songwe na unatarajia kuzikwa muda mfupi ujao katika makaburi ya Tunduma.

View attachment 3162367
Anaitwa Brigita Mbembela harafu dada yake anaitwa Neema Sanga
 
r.i.p Pude
Wakati tunaendelea kutoa RIP
zingatieni ushauri wa wataalam ya ile report iliyotolewa na tume iliyoundwa miaka ya nyuma kuhusu ubovu wa magorofa huko kko
Naona waziri mkuu naye kaja na tume nyingine blah blah nyingi wakati changamoto inajulikana
Wakiendeleza siasa na report za tume kuwekwa kabatini,tutazidi kutoa RIP ssss sanaa tu

Ova
 
Huyo ni nani mpaka tumjadili njee ya watu 29 waliofariki 🤔
Viongozi wa CCM ni mashetani. Wanapenda kweli kweli kukimbilia kwenye misiba inayovuta hisia za raia ili waonekane kuwa wanajali sana. Wao kuzuia vifo siyo kazi yao bali kazi yao ni kujifanya kusikitika wakati wa mazishi. Hapo hapo kuna watu wametekwa na hawajulikani waliko kama kina Soka, wengine wameuawa kama bwana Kibao na wengine wameponea chupuchupu kama kina Sativa. Huku wanaua huku wanajifanya kuhuzunika. Walaanike na vizazi vyao.
 
Wanafiki
Viongozi wa CCM ni mashetani. Wanapenda kweli kweli kukimbilia kwenye misiba inayovuta hisia za raia ili waonekane kuwa wanajali sana. Wao kuzia vifo siyo kazi yao bali kazi yao ni kujifanya kusikitika wakati wa mazishi. Hapo hapo kuna watu wametekwa na hawajulikani waliko kama kina Soka, wengine wameuawa kama bwana Kibao na wengine wameponea chupuchupu kama kina Sativa. Huku wanaua huku wanajifanya kuhuzunika. Walaanike na vizazi vyao.
Sana hao
 
Yani hawa jamaa najisikia kuwachukia mno 🤔🤔
 
Back
Top Bottom