Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
r.i.p PudeSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe.
Pude alifariki katika ajali ya jengo la ghorofa kuporomoka Kariakoo iliyotokea Novemba 16, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Anaitwa Brigita Mbembela harafu dada yake anaitwa Neema Sanga#PICHA Mwili wa Brigita Mbembela mdogo wa marehemu Neema Sanga, waliofariki dunia baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa mnamo Novemba 16, 2024, katika eneo la Kariakoo Dar es Salaam umeagwa hii leo Novemba 26 katika kanisa la KKKT Tunduma mkoani Songwe na unatarajia kuzikwa muda mfupi ujao katika makaburi ya Tunduma.
View attachment 3162367
Wakati tunaendelea kutoa RIPr.i.p Pude
Li mkuuHuyo ni nani mpaka tumjadili njee ya watu 29 waliofariki 🤔
kuu min -me unashangaa nini wakati wewe ndiyo umeuliza swali! Hivi mkuu wewe ni rasta?Hilo nalo swa
Li mkuu
Pm basi mkuu tubongeM
kuu min -me unashangaa nini wakati wewe ndiyo umeuliza swali! Hivi mkuu wewe ni rasta?
Una show love kwa wanaKwa nini umeuliza mimi ni rasta mkuu🤣🤣
Kwasababu wana pia wana show love kwangu mkuu 🤗Una show love kwa wana
Viongozi wa CCM ni mashetani. Wanapenda kweli kweli kukimbilia kwenye misiba inayovuta hisia za raia ili waonekane kuwa wanajali sana. Wao kuzuia vifo siyo kazi yao bali kazi yao ni kujifanya kusikitika wakati wa mazishi. Hapo hapo kuna watu wametekwa na hawajulikani waliko kama kina Soka, wengine wameuawa kama bwana Kibao na wengine wameponea chupuchupu kama kina Sativa. Huku wanaua huku wanajifanya kuhuzunika. Walaanike na vizazi vyao.Huyo ni nani mpaka tumjadili njee ya watu 29 waliofariki 🤔
Njoo pm mzeee mimi sio usalama mkuuKwasababu wana pia wana show love kwangu mkuu 🤗
Sana haoViongozi wa CCM ni mashetani. Wanapenda kweli kweli kukimbilia kwenye misiba inayovuta hisia za raia ili waonekane kuwa wanajali sana. Wao kuzia vifo siyo kazi yao bali kazi yao ni kujifanya kusikitika wakati wa mazishi. Hapo hapo kuna watu wametekwa na hawajulikani waliko kama kina Soka, wengine wameuawa kama bwana Kibao na wengine wameponea chupuchupu kama kina Sativa. Huku wanaua huku wanajifanya kuhuzunika. Walaanike na vizazi vyao.
Yani hawa jamaa najisikia kuwachukia mno 🤔🤔Viongozi wa CCM ni mashetani. Wanapenda kweli kweli kukimbilia kwenye misiba inayovuta hisia za raia ili waonekane kuwa wanajali sana. Wao kuzia vifo siyo kazi yao bali kazi yao ni kujifanya kusikitika wakati wa mazishi. Hapo hapo kuna watu wametekwa na hawajulikani waliko kama kina Soka, wengine wameuawa kama bwana Kibao na wengine wameponea chupuchupu kama kina Sativa. Huku wanaua huku wanajifanya kuhuzunika. Walaanike na vizazi vyao.