Mwili wa Daktari Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu waokotwa maeneo ya Malolo, Tabora

Na ndiye pia alikuwa Mkuu wa Majeshi kwa wakati huo, hii ni kutokana na utaratibu mbaya uliokuwepo kwa Majeshi ya Rais Mobutu. Majeshi ya Zaire wakati huo yalikuwa na mfumo mbaya sana wa Kiutawala, kwa jinsi lilivyokuwa ni kama vile kulikuwa na Wakuu wa Majeshi wawili, Mkuu wa Vikosi vya Kumlinda Rais Mobutu alikuwa kama vile CDF wa kwanza, kwa sababu vikosi vyake vilikuwa vinajitegemea vyenyewe na wala vilikuwa havipokei amri kutoka kwa mtu mwingine yoyote yule isipokuwa kutoka kwa Mkuu wao wa Vikosi vya Ulinzi wa Rais. Aidha, Kiongozi wa Vikosi vingine vya Majeshi ya Ulinzi wa nchi yote alikuwa Hana mamlaka juu ya Vikosi vya Ulinzi wa Rais. Waziri wa Ulinzi ndiye alikuwa kama incharge wa Majeshi yote kabisa.
 
Ni tukio la kusikitisha sana, na mbaya zaidi katika nchi yetu kukatisha uhai kunazidi kufanywa suluhisho na siyo hatua flani tu ya kimaisha.

Kama ukitaka kulichunguza tukio hili ama kulitafakari vizuri, ondoa hizo issues za makopo ya dawa sijui na sindano zilizokutwa na marehemu.

Pia, zisahau na zile SMS alizotuma kwa mkewe, halafu ndiyo uanze kutafakari, ndipo nadhani utaweza kupata picha halisi ya tukio hili.

Hizi SMS, sindano na makopo ya dawa nadhani ni kama uchafu uliowekwa kwa makusudi ili tusipate njia nzuri ya kulitafakari tukio hili kwa usahihi.

Ova
 
Planned and Targeted Crime.
 
Wazungu wanasema no loose end.wote waliokuwepo kweye mission wanafutwa .
Exactly, maana haileti kabisa maana kusema kajiua kwasababu alikua na msongo wa mawazo, lakini pia ukiwaza kauawa unapata ukakasi kwenye sababu hiyo.
 
Huyo kwa kazi yake na muonekano kibongobongo alishajipata sio rahisi kujiua wachunguze vizuri.
 
Aisee
 
U
Kile kijiji cha damu zisizo na hatia,damu ilivyo ya hatari hatujui uzao wake ulipo!!.Hakuna aliyeenda kukaa wala kupaendeleza.Damu huwa inaongea na kulia na kupigana na kudai kisasi!!.We subiri muda si mrefu watu watajua adhabu ya Damu isiyo na hatia ni ya Mungu.Ila tuendelee kuomba kama ulivyoshauri.
 
Ni kweli kabisa, hadi leo hii Watu wa Zaire (Congo DR) hawataki kwenda kuishi kwenye kijiji Cha Gbadolite, nyumbani kulikokuwa na Makazi binafsi ya Rais wa zamani wa nchi hiyo dikteta Mobutu Sese Seko, majengo na uwanja wa ndege mkubwa aliojenga kwenye Makazi yake hayo vyote kabisa vimetelekezwa. Hata watoto wake yeye mwenyewe Mobutu pamoja na ndugu zake wengine pia hawataki kwenda kuishi kwenye makazi hayo. Eneo hilo limetelekezwa kabisa, kwanza watu wengi wa nchi hiyo wanalichukulia eneo hilo la Kijiji Cha Gbadolite Kama eneo lenye laana na mikosi kutokana na damu nyingi sana za Watu zilizomwagika hapo nyakati za Utawala wa Mauaji wa dikteta Mobutu.
 
HIVI XILE CHIPU ZA KINA MANJI ZINAONYESHA ULIPO ZINAUZWA WAPI NA SH NGAPI KWA HALI HII BORA UUZE NYUMBA UWEKE HIZO CHIPU KWA MWILI LOH
 
Mbona hizo sms ni kama Suicide note?!
NI kwamba nikikuteka ili nikuue, nitatuma sms kama hizo ili watu wadhani ulijiua. Ni Polisi wa Tanzania tu watakimbilia kusema kajiua kwa sababu wameona hizo sms kama ulivyofanya wewe hapa.

Jambo Polisi wanalotakiwa kufanya ni kumwita mtaalamu wa lugha na kulinganisha sms zake za siku zote na hizo. Kwa mfano, maneno lama pesa - je huwa anasema pesa au hela? Maneno kama kwaheri, huwa anasema kwa heri au kwaheri au kwaeli? Hapo ndipo wanaweza kugundua kama sms ni kanyaboya la wasijulikana au la. Polisi wanapokimbilia kusema ni suicide ni kiashiria kuwa wao wamehusika na kifo
 
Umeeleza vizuri ila umemalizia vibaya kabisa..nchi haikombolewi kwa maombi! acheni kudanganyana watanzania
 
Umeeleza vizuri ila umemalizia vibaya kabisa..nchi haikombolewi kwa maombi! acheni kudanganyana watanzania
Wananchi wa Zaire katika kuikomboa nchi yao kutokana na utawala wa kidhalimu waliokuwa wakifanyiwa kutoka kwa Rais wa nchi hiyo dikteta Mobutu Sese Seko, harakati zao za ukombozi walianza na Mungu, waliendelea na Mungu na kisha walimaliza na Mungu, na hatimaye utawala wa Mobutu ulianguka vibaya sana na wananchi wakawa huru.
 
Ni kwa sababu ya siasa za majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…