Mwili wa Daktari Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu waokotwa maeneo ya Malolo, Tabora

Mwili wa Daktari Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu waokotwa maeneo ya Malolo, Tabora

Unajuw sas Iv tnapaswa Kuwa makini sana sote sote raia wa kitanzania kwa matokeo mbali mbali yakikatili yanayojitokeza nchini kwet kwa sasa ila tnaomba jesh la polisi Kuwa makini zaid na haya matukio yananyo jitokeza kwa kipindi hichi man inaskitusha sana
 
Mbona hizo sms ni kama Suicide note?!
Pengine labda ndo wanachotaka kuwaaminisha.. Bongo mtu akikutwa kafa kama hana jeraha na kakutwa ana kinote pemben watu wanaamini kajiua..

Utasikia
Maisha magumu. Mapenzi yanaua.. dah

natumai Jeshi letu la polisi litafanya uchunguzi wa kina kujua chanzo hata kama ni suicide case lazima chanzo kijulikane
 
Back
Top Bottom