SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Itakua hakuishi na Baba yake tokea utotoni ndo maana watoto wa ndoa wa malecela wapo na positions kubwa kielimu kimaisha. Sasa akajikuta anakua chawa wa Makonda. Makonda hana cheo Lemutuz anashindwa hata kujipendekeza tena kwa kina Nape maana aliwaona mavi.
Hao wa ndani ya ndoa wamebebwa na akili zao lemutuz nae angekua smart huwo utoto wa nje pia ungembeba kupitia baba yake ila kichwani ni bogus kukaa kote marekani alivyorudia alifikia kwa baba yake mtu Una zaidi ya miaka 50 unafikia kwa baba