Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

Binti ya Lemutuz aitwae Noela katoka New York Amerika kuja kumzika shangazi yake. Le mutuz kashindwa kweli ?
Mbona alikuepo msibani amekaa pembeni ya podium,nenda ayo tv utamuona...mnampa babu dhambi wkti yupo msibani
 
Poleni wafiwa,
Ila watz wakiwa hai kila mmoja anataka kwenda majuu, bahati mbaya au nzuri umri ukiishia huko kwanini lazima warudishwe wasizikwe huko huko?

We huna akili kabisa huyo mwenzio alipewa kazi na Umoja wa mataifa usifikiri alienda huko kuganga njaa kama wewe unavyoganga njaa hapa
 
Hujanielewa nilimjibu mtu kua ippy ni marehemu kitambo sana,najua wakiume kabaki baharia le mutuz
Samweli pia. Samweli ni mdogo ila ndo alipewa usemaji wa familia hapa Dar. Wakiume wamebaki wawili Lemutuz na Samweli. Wa kike wapo Sece,Mwendwa,Tully na Nyagwa.
 
Samweli pia. Samweli ni mdogo ila ndo alipewa usemaji wa familia hapa Dar. Wakiume wamebaki wawili Lemutuz na Samweli. Wa kike wapo Sece,Mwendwa,Tully na Nyagwa.
Mzee bado ana hazina ya watoto kumbe
Bado ana watu wa kumpa moyo na kumtia nguvu katka kipindi hiki kigumu vijana tujitahidi tuzae
 
Samweli pia. Samweli ni mdogo ila ndo alipewa usemaji wa familia hapa Dar. Wakiume wamebaki wawili Lemutuz na Samweli. Wa kike wapo Sece,Mwendwa,Tully na Nyagwa.
Ndio yule alikua msemaji wa familia?lemutuz hajawahi mtaja
 
Sio kweli, mange anajipendekeza. Ulitaka mama Samia asemaje?
Ila huyo mama alikua bega kwa bega na ndio alikua anamtuma kutukana
Hili ni sahihi kabisa yeye Samia ndio alikuwa akimpa info za Ikulu Mange na kisha mange kulipua haswa
 
Mwenye kosa ni Mzee John Malecela kumtenga katika familia mtoto wa ujana wake akiwa DO Mbeya!!!
Je kama matendo haya yanafanyika Mzee Malecela akiwa hai Itakuwaje siku mzee hayupo. Sio vizuri Ni wakati baba angeonyesha upendo kwa mwanae Le Mutuz kabla hajafa.
 
We huna akili kabisa huyo mwenzio alipewa kazi na Umoja wa mataifa usifikiri alienda huko kuganga njaa kama wewe unavyoganga njaa hapa
Kwan alilazimishwa? Si aliridhika kwenda? huko ndio kutaka kwenyewe,
Si alikuwa hapa mukamtimua?
Kwanini musimtumie kwa faida ya watanzania?
Unaacha msomi anaondoka kirahisi tu?
 
Yes humu wengi tunafahamiana in real life. Sema hizi ID zibaki hivi hivi. Humu unaweza hata bishana na mzazi wako kabisa. Thanks to fake ID's.
Au mnaweza kupanga mambo wa ya baba na mama kumbe ni kaka yako.
 
Ippy sio Lemutuz, Lemutuz ni anaitwa William, yeye ni mkubwa kwa Ippy ila ni wa mama mwingine, yani sio mtoto wa kwnye ndoa .Ippy ana kaka yake mkubwa ambaye ayo alifariki kwa ajali miaka ya 80 huko
Alikuwa anasoma UDSM Engineering, anaitwa Senyagwa, alifarili 1984 kwa ajali akiwa anatoka Disco na benz ya baba yake. Alifia karibu na njia panda ya kwenda St. Peters Catholic church, kule Mbuyuni. Baba yake alienda kikazi Uingereza, yeye huku nyuma akamuomba mama yake ampe fungu za benz, akaenda disco la akina Kalikali enzi zile mpaka alfajiri na ndipo njiani akakutana uso kwa uso na lori, nadhani alisinzia shauri ya uchovu.
 
Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.

Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.

Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa mzee Samwel Malecela ambapo sala fupi zilifanyika.

Mzee Abdulrahman Kinana aliyekuwa Katibu Mkuu CCM na Mama Kate Kamba Mwenyekiti wa CCM DSM, walishiriki misa hiyo fupi ya kuupokea mwili nyumbani kwa mzee Malecela.
Uzi umechangiwa kweli kweli huu wa marehemu Dr Mwele Ntuli. Angekuwa aliyefariki ni Mwakifyatu hata angekuwa alikuwa na wadhifa wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, sidhani kama wachangiaji wangefika hata kumi. Hapa wameshafika zaidi ya 221. Nimekumbuka ule wimbo wa Msondo ngoma!
 
Sijui wewe ndiye Mange maana katika bandiko la awali ulijisahau ukasema "Nimeumia sana ......" . Hata hivyo wasiwasi wangu ni kutokuona matusi makali ya nguoni ambayo hata SHWEITANI anaogopa na kutetemeka akiyasikia.
Ishiiiiiy mange huyo anavyomchuia magufui hata mkifo chame alitunanga kweli hakuumizwa na kifo cha jpm.na maneno yake ya kukera leo msiba umebisha hidi kwa ***** eti nae analia? Ndo kajua kifo kinaumia? Ndivyo tuliumia hivo mwezi wa tatu.
 
Back
Top Bottom