Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

I wish nikuunge na my son who used that makitu for more than 20 years ila now is free.

Poleee.

X wangu ambaye ni mama watoto amekuja tumeongea usiku mzima. Nimekubali anisaidie, kesho atanipeleka kwa wataalamu. Yaani hapa, I have to do it or I will die. Nikiwaangalia watoto wangu moyo inaniuma. Yaani leo ni siku ya mwisho. Kesho inabidi nichukue hatua
 
Pole sana Pagan....
Natamani kujua vingi, nitakuuliza unifahamishe i know nothing kuhusu hivi vitu.
Pole
 
Hivi vitu viko vya aina mbalimbali, na kila mtu ana ugonjwa wake. Ukifika hatua ya kujipiga sindano ujue hiyo ngoma ishakuwa nagwa. Wauzaji wa haya madude wanachojali ni pesa tu, wanakuua huku wanatabasamu
 
Nadhani itapendeza tukimsaidia kaka yetu pagan. Sina shaka humu kuna wataalam wa Rehab..
Tunawasihi mseme JAMBO if you are in a position to extend help.
 
Kesho nakwenda kwa daktari wa familia, yeye ndio atanipangia wapi pa kwenda. Nakumbuka mwaka jana aliniambia njoo tuongee hili swala, matokeo ilikuwa kila akinipigia simu sipokei mwisho akaona isiweze tabu akaachana na mimi. Lakini sasa nimekubali tuanze process
 
Poleni sana. Ilianzaje anzaje na imekwendaje hadi sasa. Naomba ufunguke maana utasaidia wengi na pia itakuweka wewe free na kuanza kuchukua hatua. Pole sana mkuu
 
, Mkuu kuna kipindi nilikaa Magomeni Kagera, watu niliokuwa napiga nao misele ndio bad choice
 
X wangu ambaye ni mama watoto amekuja tumeongea usiku mzima. Nimekubali anisaidie, kesho atanipeleka kwa wataalamu. Yaani hapa, I have to do it or I will die. Nikiwaangalia watoto wangu moyo inaniuma. Yaani leo ni siku ya mwisho. Kesho inabidi nichukue hatua
Mungu akutangulie kaka!
 
Hivi vitu viko vya aina mbalimbali, na kila mtu ana ugonjwa wake. Ukifika hatua ya kujipiga sindano ujue hiyo ngoma ishakuwa nagwa. Wauzaji wa haya madude wanachojali ni pesa tu, wanakuua huku wanatabasamu
Aseehh!pole sana rafiki I do hope utavuka hili janga!
 
Kesho nakwenda kwa daktari wa familia, yeye ndio atanipangia wapi pa kwenda. Nakumbuka mwaka jana aliniambia njoo tuongee hili swala, matokeo ilikuwa kila akinipigia simu sipokei mwisho akaona isiweze tabu akaachana na mimi. Lakini sasa nimekubali tuanze process
Amen
 
Don't you give up the fight so easy mkuu! Usijitamkie kabisa kuwa umeshasurrender na kuwa unasubiri the same fate that the boy DMX has faced. Amua kuanzia sasa kuchukua hatua ya kuacha na upambane kweli kweli. Usiisikilize hiyo sauti inayokuambia kuwa umefika a point of no return. You still have a life, get up and fight.
👊👊
 
Jina lake linaambatana nae
 
I wish vitu unavyoongea vingekuwa kweli. Hivi vitu uviskie kwa majirani
Pole sana, nakuonea huruma sana, Ndugu wadogo kwa Baba yangu mdogo wote wameathiriwa na hiyo hali, najua nini unaoongea, Hii habari ione kwa jirani na sio kwenye famili.
Ila hatma yako iko mikononi mwako, katika maisha yangu nimejua ya kuwa hamna nisichoweza kufanya, Na hata wewe hivyo hivyo, unaweza kuacha kama ulivyoanza. Jaribu kuwa mtu wa ibada(maombi), Funga, funga inafungua vifungo vingi sana, ukiweza kufunga kwa mwezi unatoka hapo.
 
Nakumbuka nilianzaga hii kitu way back 1997 nikiwa nasoma naishi kinondoni kwa manyanya, enzi hizo pamechafuka sana KINO but mshua aliniwahi nikiwa early stages akanihamisha mkoa ndio ikawa pona yangu ila nshapoteza cousin kwa hii kitu addict.

Ni starehe ambayo mtumiaji ukimuwekea unga hapa na Demu mkaaaaaliiiii pembeni atachangua ngada coz raha yake huwezi isimulia ile stim aisee.

Pole mkuu tafuta solution mapema.
 
Back
Top Bottom