Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 Jun 3, 2017 #101 Miss Natafuta said: wanasema eti alibadili dini na kuwa muislam .mbona alizikwa kikristo? Click to expand... Con men wana dini ya kueleweka kweli? Akitaka kuoa dini Ile anajiunga nayo. Akitaka kulindwa na dini ile anaenda huko pia.. Akitaka favor za dini Ile kule pia ataenda. Sanaa katika ubora wake
Miss Natafuta said: wanasema eti alibadili dini na kuwa muislam .mbona alizikwa kikristo? Click to expand... Con men wana dini ya kueleweka kweli? Akitaka kuoa dini Ile anajiunga nayo. Akitaka kulindwa na dini ile anaenda huko pia.. Akitaka favor za dini Ile kule pia ataenda. Sanaa katika ubora wake