Kitu nilichojifunza katika msiba huu ni kuwa sikuwahi kuwaza kama Waganda wanatuzidi kwa UNAFIKI, UJINGA na UZUSHI uliokithiri[emoji15]!!sikuwahi kuwaza kama Waganda ni waongo kiasi hiki!?
Yaani msiba wa Ivan waganda wameufanya biashara kubwaa!!wanaandika uongo wote ili mradi tu magazeti yanunuliwe na blogs zao zisomwe!!so sad yaani!!
Hiyo picha ni photoshoot tu!ila walivyoikomalia utadhani ni habari za ukweli!!na wabongo sisi Uongo ukiandikwa kwa Kiingereza tu basi unakuwa ukweli asilimia 100%!!!Ukitaka kumdanganya Mtanzania basi mwandikie Habari kwa kiingereza na uweke na viasilimia hapo basi wee atakuamini kwa asilimia zooote