"Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

"Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

Nilimwambia mtu mmoja hapa hizo fedha ztafukuliwa kwa amri ya mahakama. Ninachoshindwa kufahamu ni km hawa waliofikia uamuzi wa kumzika Ivan na fedha hawakujua kama hili jambo halikubaliki? Just a such a simple mind hawakujua?
Mkuu ulivyowaangalia wale undhani walikua timamu. Too much plastic life pale. Just kuonyesha Don kaenda. Uganda huwaga washambawashamba sana. Ndo maana Jack Pemba anawanyoosha ile ngumu
 
Mbona barua ya kesi kufukua kaburi imewekwa. Ushahidi kuwa anatafutwa na Inteepol uko wapi?
 
Let's wait and see what will happen.. Maana nasikia Uganda hata ndugu hawajaona mwili wa Jamaa... Na inshu ya hospital na mambo yote yalivyokuwa anajua Zari na King Laurence tu pmj na madokta nyuma ya pazia.. Nimeangalia interview ya zari na millardayo daaa... Yupo normal bibiee anakimbana na mengi sana.. Ila nadhan kuna jambo..
 
Why did they wait for his burial to end?? Upuuzi at work..
Maajabu ni hao Interpol ambao hawakumkamata mtu akiwa mzima huko SA,hawakumkamata akiwa hospital na alipolazwa panajulikana wakamwacha akasafirishwa hadi uganda wamesubiri amezikwa ndio wanaanza kumtafuta
 
Let's wait and see what will happen.. Maana nasikia Uganda hata ndugu hawajaona mwili wa Jamaa... Na inshu ya hospital na mambo yote yalivyokuwa anajua Zari na King Laurence tu pmj na madokta nyuma ya pazia.. Nimeangalia interview ya zari na millardayo daaa... Yupo normal bibiee anakimbana na mengi sana.. Ila nadhan kuna jambo..
Ulitaka asiwe normal, aweje?

Yeye sio mfiwa, kasindikiza wafiwa...
 
Sio kutengeneza pesa huku kweli? Japo wangeitaka wangepewa bila kusumbua watu, na wakikuta kafa kweli, gharama za usumbufu atalipa nani?
 
Hakubadili dini,Ali senyongo ndo ilikuwa identity yake kwenye shughuli za uganga huko south africa,akienda labda Uganda anatumia passport ya Ivan ni kama wale wabongo wenye passport za nchi mbili wanavyofanyaga.
hakuna mtz mwenye passport mbili tofauti labda fake,Tz haijaruhusu uraia wa nchi mbili
 
hakuna mtz mwenye passport mbili tofauti labda fake,Tz haijaruhusu uraia wa nchi mbili
soma uelewe ndugu ,haijaruhusu ndo maana watu wengi wanafanya style hiyo..kuna kigogo mmoja wa radio na tv hapa bongo anao uraia wa marekani an bongo,kuna mbunge wa upinzani machachari pia usa na bongo,kuna naibu waziri wa wizara nyeti Uk na bongo tena yeye alishawahi hadi kuombaga ukimbizi Uk..the list goes on and on
 
Kimenuka tayari....
1d324a3ebc8011d7dbc8f5bff02fdd87.jpg
Hy inahusu kufukua na kutoa pesa alizozikwa nazo wakati bado zipo kwenye mzunguko
 
Mambo mengine ni kujaribu kupotosha watu, leo mtu akitajirika ghafla mengi utasikia ila hao wanaleta picha picha tuu kwa nini wsinge fika hospital na kuiyangalia maiti ilikuaje wakatoa askari kulinda kaburi la mchizi
...
 
Uwongo! Wakenya ndiyo wanapenda kuamini vitu vilivyo andikwa in English! Waswahili sisi ni watu wa kujiamini na tuna hekima na busara!
Ni kweli kwasababu wengi wetu wameamini hiyo Application hapo inahusu Fake ID wakati inahusu Pesa zilizozikwa!!na bado mpaka sasa wanaendelea kuamini uongo wa hao waganda[emoji23]
 
Imeandikwa wapi kuwa ukifiwa lazima ulie na kuhuzunika 24HRs?
Hata watu wazima kuna wakati wanacheka, sembuse watoto?
Waonekana hauna ushirikiano mzuri na wanajamii na kuwa mambo mengi yamekupita!

Shiriki mambo ya kijamii utajifunza mengi!

NB: watoto wana feel absence ya yule mtu ambaye amekuwa nao karibu kwa muda mwingi, hichi ndicho kinachoweza kumfanya ajisikie huzuni na kulia! Hata wewe kama uko mbali na wanao, usitegemee sisi kuona machozi yao utapokufa!

hiyo kitu ilinistua hata mimi actually kuna picha kabisa kanisani wanacheka..
 
Maajabu ni hao Interpol ambao hawakumkamata mtu akiwa mzima huko SA,hawakumkamata akiwa hospital na alipolazwa panajulikana wakamwacha akasafirishwa hadi uganda wamesubiri amezikwa ndio wanaanza kumtafuta
Watakuwa wamekumbuka shuka asubuhi 'All in all it is said there is no secret under the sun'
 
Back
Top Bottom