Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.

Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa ibada fupi ya misa, kabla ya kupelekwa rasmi katika makaburi hayo kwa ajili ya maziko.

Mazishi hayo yanahudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kutoka maeneo tofauti, ambapo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Mchimbi anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji.
1765873195169.jpg

SOurce Azam TV
 
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Daaa ,I hate Death.
 
Eboooo! Kumbe aliolewaga🤣😂umewaumbua Wana jf jmn ila mme wake alifariki lini? R.I.p leornad mhagama, pumzika na mkeo kipenzi
 
Tunasubiri nani anafuata kujenistiwa maana chura kiziwi amedhamiria kuwateketeza wote wasio upande wake huko CCM.
 
Mume wake alifariki mwaka 2010 kipindi ambacho JK alimpa Jenista cheo kwenye baraza la mawaziri
Lah, kwani unasemaje?

Ukiingia JF ni vigumu sana kujizuia kucheka, au kuchukia; na hata kulazimika kuandika bila ya kukusudia!
 
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.

Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa ibada fupi ya misa, kabla ya kupelekwa rasmi katika makaburi hayo kwa ajili ya maziko.

Mazishi hayo yanahudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kutoka maeneo tofauti, ambapo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Mchimbi anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji.
View attachment 3516114
SOurce Azam TV
Kifo ni funzo kwa binadamu lililojificha sana..

Huyu mama na heshima yote ya ubunge wa kura za wizi, majumba mengi mazuri pengine na mahela ya ufisadi lakini kayaacha yote kaenda kulala peke yake porini, akiwa amefukiwa na udongo ardhini katika dunia nyingine kabisa ya mateso ya kaburi pamoja na wafu wenzake..🤔🤔🤔

Mungu amweke mali anapostahili kwa kadiri ya wapi aliwekeza hazina ya moyo wake..
 
Aisee, wakazichape huko, aeleze yule mariiioo ilikuwaje akamsaliti
 
Back
Top Bottom