Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Daaa ,I hate Death.Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.
Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa ibada fupi ya misa, kabla ya kupelekwa rasmi katika makaburi hayo kwa ajili ya maziko.
Mazishi hayo yanahudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kutoka maeneo tofauti, ambapo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Mchimbi anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
si angeitwa jenista leornad mhagamaEboooo! Kumbe aliolewaga🤣😂umewaumbua Wana jf jmn ila mme wake alifariki lini? R.I.p leornad mhagama, pumzika na mkeo kipenzi
Kwani mwanamke akiolewa anachukua jina ukoo wa mume au jina lake la kwanza?si angeitwa jenista leornad mhagama
Eboooo! Kumbe aliolewaga[emoji1787][emoji23]umewaumbua Wana jf jmn ila mme wake alifariki lini? R.I.p leornad mhagama, pumzika na mkeo kipenzi
Lah, kwani unasemaje?Mume wake alifariki mwaka 2010 kipindi ambacho JK alimpa Jenista cheo kwenye baraza la mawaziri
Kifo ni funzo kwa binadamu lililojificha sana..Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.
Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa ibada fupi ya misa, kabla ya kupelekwa rasmi katika makaburi hayo kwa ajili ya maziko.
Mazishi hayo yanahudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kutoka maeneo tofauti, ambapo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Mchimbi anatarajiwa kuwaongoza waombolezaji.
View attachment 3516114
SOurce Azam TV