Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
FncvnuIXgAAeUwk
 
Tunavuna Tulichopanda!

Tujaribu kufanya yale tunayokuwa yametupeleka huko mchi za watu!

Huyu jamaa
Nemes Tarimo(R.I.P). Kama angesimamia kile tu,kilichopmpeleka Urusi,asingefikia hatua ya kuhukumiwa kufungwa Gerezani.

Na hatimae kujikiuta anafanya Pre-bargain na #Wagner group kwenda vitani,kama mamluki!
badala ya kukaa Magereza akitumikia kifungo chake.

Kwa ahadi ya malipo na kuachiwa huru baada ya vita!
 
Wale makomando kipensi wa Mbowe siwaoni siku hizi.....

Wanachadema kama hawa ndio wanasababisha Chadema inahusishwa na ugaidi.
 
Chadema ni kama wamemtenga Tarimo kama CCM walivyomtenga Hamza wa Selender bridge!
We jamaa muongo. Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika yupo Msibani na wanachama wengine wengi.

Nemes hawezi kuachwa na wanachadema kisa propaganda za kitoto kutoka CCM.

Nemes amekuwa kada wa Chadema mda mrefu kwahiyo hizo propaganda za kijinga.
 
Ahsante kwa Taarifa

Poleni sana
 
We jamaa muongo. Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika yupo Msibani na wanachama wengine wengi.

Nemes hawezi kuachwa na wanachadema kisa propaganda za kitoto kutoka CCM.

Nemes amekuwa kada wa Chadema mda mrefu kwahiyo hizo propaganda za kijinga.
Mkuu kama wanabisha wawekee picha hapa uwazibe midomo vinginevyo naona kama wamekushika pabaya
 
We jamaa muongo. Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika yupo Msibani na wanachama wengine wengi.

Nemes hawezi kuachwa na wanachadema kisa propaganda za kitoto kutoka CCM.

Nemes amekuwa kada wa Chadema mda mrefu kwahiyo hizo propaganda za kijinga.
Mnyika ameenda kwa sababu ya posho
 
kichwa cha habari kimebeba chuki:

Mwili wa mtanzania mwenzetu, mwanachama na mgombe ubunge wa CHADEMA hatimae waletwa Tanzania.​

ungesema raia wa tanzania aliyejitolea kuwa mwanajeshi urusi
wala hakuwa kwenye jeshi la Urusi bhana alikuwa wale askari wa kukodiwa wa WAGNER GROUP RUSSIA (PMC Wagner (Wagner Group) is a Russian private military company led by Yevgeniy Prigozhin, a Putin crony and the target of multiple U.S. sanctions. Wagner Group has been involved in Kremlin-backed combat operations around the world in support of Putin's war on Ukraine)
 
alikuwa mpishi ?
 
Tunavuna Tulichopanda!

Tujaribu kufanya yale tunayokuwa yametupeleka huko mchi za watu!

Huyu jamaa
Nemes Tarimo(R.I.P). Kama angesimamia kile tu,kilichopmpeleka Urusi,asingefikia hatua ya kuhukumiwa kufungwa Gerezani.

Na hatimae kujikiuta anafanya Pre-bargain na #Wagner group kwenda vitani,kama mamluki!
badala ya kukaa Magereza akitumikia kifungo chake.

Kwa ahadi ya malipo na kuachiwa huru baada ya vita!
We endelea na mashuja wako
Wakata mauno bongo

Ova
 
Askari wa Wagner, Wagner ikiwa imekodiwa na Urusi kupigana vita kwa niaba ya Urusi kwa malipo.
umetamka "Askari wa Wagner, Wagner ikiwa imekodiwa na Urusi kupigana vita kwa niaba ya Urusi kwa malipo."
huko kulikuwa na chama ?
 
Back
Top Bottom