Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazikwa mbeya...huyu hajawahi kulelewa na baba yakeSijui watazika wapi.
Baba moshi mama mbeya.
Imesikika wa moshi walivyoona mkanganyiko wakasema kikeni mkazike.
Ofcourse imesemekana ni alizaliwa by singo maza and all parents are no more.
Wanangu nendeni polepole ili mtuzike kwanza.
Bashiru hakuonekana kwenye msiba wa Hamza?Mkuu kama wanabisha wawekee picha hapa uwazibe midomo vinginevyo naona kama wamekushika pabaya
Hakuna kitu kama hicho kinafanyika.Anazikwa mbeya...huyu hajawahi kulelewa na baba yake
Baba alikula kona
Anazikwa tukuyu huyu mwamba
Ova
Unaweza kutofautisha kati ya tamaa na kijitafutia namna ya kuishi?Acha ushabiki wa kipuuzi.Tamaa zimemponza
Hakujitolea alilazimishwa na dikteta putin. Jiulize aliwezaje kutoka kifungoni na kujiunga na wahuni walekichwa cha habari kimebeba chuki:
Mwili wa mtanzania mwenzetu, mwanachama na mgombe ubunge wa CHADEMA hatimae waletwa Tanzania.
ungesema raia wa tanzania aliyejitolea kuwa mwanajeshi urusi
Aminia kabisaaaa...Mtu akifa kafa.. hata ufanye nini Hawezi kurudi.
Aristotle One of the Ancient Greek Philosopher said '' once the person dies his soul departs from the body is he no more there.. Kashasepa.
Pia General Sun Tsu The Former Chinese General In his book Art of War said '' Battles are fought and won in the hearts of Men''.
That man Has given heart and blood to the Frontline.
Ukishaenda Vitani umeenda, na vita ni Vita.
Hakuna Cha Wagner Wala Nani ni kupiga kupigwa kujibu mapigo ya Adui.
Lala Mpiganaji.
Kufa utakufa tu hata Kwa Malaria....Kwan Akwilina alikua atakufa Ile siku??Tamaa zimemponza
Hilo lipo wazi kabisa.... Urusi ni sehemu hatari kweli kweli kwenda huko wakati huu.Huyu jamaa alilazimishwa kwenda vitani
Hapo ndo mwisho kbs wa kufikiria kwako?, kwa akili hii inatafakarisha sana!!Tamaa zimemponza
NDIYO TATIZO LA CHADEMA WANAPENDA SANA VITA ONA SASA
Alikuwa Mtanzania kama mimi -NIMESEMA. Alikuwa mwanachama wa CHADEMA kama wewe nimesema. Aligombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA nimesema WALA SIJABAGUA. Kama mnamkana sasa mngeenza na Lissu vinginevyo nyinyi ndio wabaguzi. Kwanza si angekuwa kwenye ziara za kushukuru wapiga kura kwa ajili ya kura za uchaguzi wa 2020Chadema imeingiaje tena! Why usiseme mtanzania! Ndio maana chama chenu hakisongi mbele, ukabila, udini na ukanda haufai