Tusimulie kuhusu Hamza pia!Alikuwa Mtanzania kama mimi -NIMESEMA. Alikuwa mwanachama wa CHADEMA kama wewe nimesema. Aligombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA nimesema WALA SIJABAGUA. Kama mnamkana sasa mngeenza na Lissu vinginevyo nyinyi ndio wabaguzi. Kwanza si angekuwa kwenye ziara za kushukuru wapiga kura kwa ajili ya kura za uchaguzi wa 2020