Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

Tusimulie kuhusu Hamza pia!
 
Tusimulie kuhusu Hamza pia!
Wakati wewe unamtenga na kumbagua Tarimo pata hizi habari kutoka eneo la tukio
Ndugu jamaa, marafiki ikiwemo wanachama na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaendelea kuomboleza msiba huo katika nyumba ya familia iliyopo Mbezi Kwa Mzungu, Dar es Salaam.
 
kichwa cha habari kimebeba chuki:

Mwili wa mtanzania mwenzetu, mwanachama na mgombe ubunge wa CHADEMA hatimae waletwa Tanzania.​

ungesema raia wa tanzania aliyejitolea kuwa mwanajeshi urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…