Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo.
Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.