KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #21
Hujielewimswahili ni yule anaejua kuongea kiswahili. So watanzania wote ni waswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewimswahili ni yule anaejua kuongea kiswahili. So watanzania wote ni waswahili
Samahani....huyu ni yule aliimba wimbo ukizungumzia binti aliyekutana na mtu somebody ”Maprosoo” akamdanganya akampa ujauzito akafukuzwa kwao?Alifanya kazi chache lakini mpaka Leo zinaishi
R.I.P
Wee 🤭BINTI umeumbwa, ukaumbika?
Wewe kweli ni mgonjwa, kuna uzuri gani kwenye kile kinyago?Lakini ana kauzuri fulani hivi😁😁
Waulize marehemu Jah Kimbute au Hemedi Maneti watakuambia😁Wewe kweli ni mgonjwa, kuna uzuri gani kwenye kile kinyago?
Ungeweka hata audio mbili au tatu ili vijana wa 2000 wasikie utamu wa kazi za wahengaMarehemu Tabia Mwanjelwa atakumbukwa kwa vibao vyake maarufu kama "Jane Mimi Nahangaika" na "Kweli Maisha ni Safari Ndefu", alizoimba akiwa na bendi ya Maquis du Zaire miaka ya 1980.
Hemedi Maneti atamjulia wapi Tulia Ackson? Hata Jah Kimbute amekufa wakati Tulia anasoma Loleza SecWaulize marehemu Jah Kimbute au Hemedi Maneti watakuambia😁
Sawa nitawekaUngeweka hata audio mbili au tatu ili vijana wa 2000 wasikie utamu wa kazi za wahenga
😹😹😹 hii nchi ngumu sana..!!Hakunaga Kauzuri Fulani Huko Ni Kupeana Faraja Feki,,Bibie Ni Mbaya
Tulia awe na "mikosi,laana na kukataliwa!?"Uzuri wa kishetani uliojaa mikosi, laana na kukataliwa