eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Tulia awe na "mikosi,laana na kukataliwa!?"
PhD,Bunge la katiba,mbunge mbeya mjini,spika wa Bunge la jamhuri,Rais wa wamabunge duniani,n.k awe na hayo!?
Binadamu ni shida kweli. Anamchukia mtu kwa sababu ambazo hata yeye mwenyewe mchukiaji hazijui