Mwili wa mwanamuziki mashuhuri, marehemu Tabia Mwanjelwa kuwasili nchini Jumatatu

Nilimuona huyu Mama mwaka 2014 Berlin akiwa na Mtoto wake wa Kiume. Mtoto alikuwa Mtu mzima tayari na Wenyeji wakatuambia huyo ndiyo Mwanjelwa mwenyewe.
RIP Tabia Mwanjelwa.... 😭😭😭
 
Alifanya kazi chache lakini mpaka Leo zinaishi
R.I.P
Samahani....huyu ni yule aliimba wimbo ukizungumzia binti aliyekutana na mtu somebody ”Maprosoo” akamdanganya akampa ujauzito akafukuzwa kwao?
 
...aliwahi kuimba...kweli maisha ni safari ndefu hayana mwisho...mwisho wake ni kifo...rest easy Tabia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…