Tulia awe na "mikosi,laana na kukataliwa!?"
PhD,Bunge la katiba,mbunge mbeya mjini,spika wa Bunge la jamhuri,Rais wa wamabunge duniani,n.k awe na hayo!?
Shida kubwa sana 🙌🙌🙌Binadamu ni shida kweli. Anamchukia mtu kwa sababu ambazo hata yeye mwenyewe mchukiaji hazijui
Tulia sio mnyakyusa Kabila lake ni “ MUHORO” kutoka Mbeya vijijini!Ila Tulia ni kinyago original cha mpapure
Ndio ujue kuwa mimi sio kijana wa leo😎Hemedi Maneti atamjulia wapi Tulia Ackson? Hata Jah Kimbute amekufa wakati Tulia anasoma Loleza Sec
Aliekuambia yule ni mnyakyusani naniIla Tulia ni kinyago original cha mpapure
Mbeya vijijini wanaishi Wasafwa. Tulia ni mzaliwa wa wilaya ya Rungwe na ni Mnyakyusa kwa kabila. Acha kupotosha.Tulia sio mnyakyusa Kabila lake ni “ MUHORO” kutoka Mbeya vijijini!
Afadhali MUHORO umejitokeza kutetea ndugu zako!Mbeya vijijini wanaishi Wasafwa. Tulia ni mzaliwa wa wilaya ya Rungwe na ni Mnyakyusa kwa kabila. Acha kupotosha.
Hakuna msafwa mwenye sura mbovu kama ya Tulia
Watu wanadili na kitobo!Hakunaga Kauzuri Fulani Huko Ni Kupeana Faraja Feki,,Bibie Ni Mbaya
Na alimwimbia binti yake anaitwa Jane ambaye ndo hapo juu kwenye hii habari ndo ametoa taarifa ya mazishiAsante. Kumbe ndiye huyu aliiimba huu wimbo? Kitambo sana. Nyimbo za zamani nzuri kweli. Nyimbo nyingi za sasa hivi ni majanga! Zimejaa matusi na vituko vya ajabu ajabu.
Ule ndio ULIKUWA funika. Ule wimbo aliomba aiseeJua la asubuhi lachomoza huo wimbo ulikuwa unaniamsha.