momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Mkuu Saikolojia vipi na watu wanakimbiana kila jamaaa anavyokaribia!!!Allah amfanyie wepesi aisee niswala ambalo linamuumiza sana kama nikweli!!!nenda kwa Wataalam wa magonjwa ya Ngozi mkuu, lakini pia angalia vizuri isije ikawa ni tatizo ya saikolojia kwa kuwa halafu hiyo bado ipo kichwani kwako hivyo hata kama hunuki lakini akili yako bado inatafsiri unanuka! Jitahidi kutojinusa wala kuzingatia hiyo halafu kwa siku saba tu unatagundua kuwa wala hunuki
Duh!!!Hii stori imenikumbusha nilimpa mtu lift wiki mbili gari inanuka hadi nilitupa seat cover baada ya kuzifua bila mafanikio
Namuongezea... Anywe maji kwa wingi.. Yanasaidia kuondoa uchafu kwa njia ya mkojomkuu oga jipake mafuta yasiyokuwa na harufu kali sana... pia punguza vyakula yenye viungo vingi kula vyenye viungo vya wasatni .. halafu watu wa tiba madala wanaweza kukueleza na matunda ya kutumia au juice kusafisha taka mwilini mwako.. make sure unavaa chupi za cotton usirudie chupi,,, shave kuwe safi kupake mafuta ya vaselini kuwe kuzuri..........halafu kama unakunywa pombe au unavuta sigara embu achana na ulabu kwa muda ,.. lazima uwe mwaaa
Ohooooo!!!Wewe itakua ulikoshewa mnuka nuka ....jasho la muuza duka
kabisaNamuongezea... Anywe maji kwa wingi.. Yanasaidia kuondoa uchafu kwa njia ya mkojo
Hii nayo ianaweza kua kweli!Inaweza kabisa kuwa ni matatizo ya kiroho. Waone watumishi wa Mungu waliokoka watakusaidia kwa Jina la YESU. YESU hashindwi kitu na anakupenda pia
Kweli kabisaKutumia manukato sio kutibu tatizo bali ni kulificha nakushauri uende hospitali
Mchek daktar wa masuala ya ngoz...nenda TMJ hospital kuna matibabu mazur ya ngozHabarini wanafamilia,
Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na ninategemea kuoa. Kazini kwangu hata kabla sijapishana na mtu basi huyo mtu ataanza kuziba pua na kama yuko mbali basi akiniona tu utamwona anatema mate au kuvuta koromeo la koozi kuashiria kwamba anajiandaa kukabiriana na harufu yangu mbaya.
Nimejitahidi sana mpaka kufikia kuzoea ratiba ya kuoga mara 3 kwa siku lakini wapi, nikioga nina kuwa salama kwa masaa mawili ya mwanzo lakini baada ya hapo ninakuwa kero kwa watu. Harufu mbaya inayowatesa wenzangu mimi siisikii lakini wao inawashinda. Nimekuwa nikiharibu siku za watu kila mara.
Sehemu ambayo nimekuja kugundua kwamba inato harufu hii ni kwenye mapumbu (Samahani kwa kutumia lugha kali lakini sina namna ya kuweka tafsida ya hili neno bila kuharibu maana). Nimekuwa nikiosha sana pumbu zangu usiku, mchana na asubuhi lakini haija saidia. Hakuna mtu duniani anayejitahidi kuoga kama mimi. Kuna ndugu zangu wengine anaweza asioge hata wiki lakini mimi nikioga muda huu baada ya masaa 3 ninanuka balaa. Mimi ni mtu mwembamba tu na wala umbo langu sio kubwa na wala sina mafuta mafuta lakini, hii harufu inaninyima raha ya kuwepo duniani.
Mimi ni mpole ukiniona lakini kiuhalisia mimi nilikuwaga mtundu sana na huu upole wangu wa sasa ni siri yangu, upole wangu ni kwa sababu ninanuka kwa hiyo sina amani ya kujitutumua mbele ya jamii inayo nizunguka. Inanibidi niwe mpooooole na tulivu hata muda mwingine nimekuwa mtu wa ndio mzee, sawa mkuu, ilimradi tu kuharakisha mtu asisimame na mimi kwa muda mrefu akaisikia harufu yangu kali akawa ananikimbia kwenye korido. Marafiki zangu wa kweli ambao tumeishi nao muda mrefu mpaka nimefanya pua zao kuzoea harufu yangu na wala hawaoni kama ninanuka, ukiwauliza watakwambia jinsi mimi nilivyo mtundu, mcheshi na mpenda sifa tena machepele kweli kweli dakika mbili mbele, lakini ni kwa hawa tu ambao kwao mimi sinuki bali ni shujaa.
Wadau naombeni msaada sana katika hili ili niweze na mimi kujihisi ni mtu wa kawaida kwa kuondokana na hili tatizo nguli katika maisha yangu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Ukweli ni kwamba wewe una shida kichwani, some sort of body dysmorphic disorder. Sio kweli kwamba unanuka, mpaka koridoni watu walio kulee wazibe pua. Hii shida iko kichwani kwako, uko deluded, na una hallucinate. Inawezekana kwenye pumbu kuna shida, ama una percieve kwamba kuna shida ila sio kwa kiwango hicho unachosema. Ukimuona Daktari wa ngozi nina hakika lazima akuelekeze kwa Daktari wa magonjwa ya akili. Huo ndio ukweli mchunguHabarini wanafamilia,
Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na ninategemea kuoa. Kazini kwangu hata kabla sijapishana na mtu basi huyo mtu ataanza kuziba pua na kama yuko mbali basi akiniona tu utamwona anatema mate au kuvuta koromeo la koozi kuashiria kwamba anajiandaa kukabiriana na harufu yangu mbaya.
Nimejitahidi sana mpaka kufikia kuzoea ratiba ya kuoga mara 3 kwa siku lakini wapi, nikioga nina kuwa salama kwa masaa mawili ya mwanzo lakini baada ya hapo ninakuwa kero kwa watu. Harufu mbaya inayowatesa wenzangu mimi siisikii lakini wao inawashinda. Nimekuwa nikiharibu siku za watu kila mara.
Sehemu ambayo nimekuja kugundua kwamba inato harufu hii ni kwenye mapumbu (Samahani kwa kutumia lugha kali lakini sina namna ya kuweka tafsida ya hili neno bila kuharibu maana). Nimekuwa nikiosha sana pumbu zangu usiku, mchana na asubuhi lakini haija saidia. Hakuna mtu duniani anayejitahidi kuoga kama mimi. Kuna ndugu zangu wengine anaweza asioge hata wiki lakini mimi nikioga muda huu baada ya masaa 3 ninanuka balaa. Mimi ni mtu mwembamba tu na wala umbo langu sio kubwa na wala sina mafuta mafuta lakini, hii harufu inaninyima raha ya kuwepo duniani.
Mimi ni mpole ukiniona lakini kiuhalisia mimi nilikuwaga mtundu sana na huu upole wangu wa sasa ni siri yangu, upole wangu ni kwa sababu ninanuka kwa hiyo sina amani ya kujitutumua mbele ya jamii inayo nizunguka. Inanibidi niwe mpooooole na tulivu hata muda mwingine nimekuwa mtu wa ndio mzee, sawa mkuu, ilimradi tu kuharakisha mtu asisimame na mimi kwa muda mrefu akaisikia harufu yangu kali akawa ananikimbia kwenye korido. Marafiki zangu wa kweli ambao tumeishi nao muda mrefu mpaka nimefanya pua zao kuzoea harufu yangu na wala hawaoni kama ninanuka, ukiwauliza watakwambia jinsi mimi nilivyo mtundu, mcheshi na mpenda sifa tena machepele kweli kweli dakika mbili mbele, lakini ni kwa hawa tu ambao kwao mimi sinuki bali ni shujaa.
Wadau naombeni msaada sana katika hili ili niweze na mimi kujihisi ni mtu wa kawaida kwa kuondokana na hili tatizo nguli katika maisha yangu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] loohMkuu vipi ukijamba
Hiyo kiboko mkuu!mjomba izo ngunga zitakuwa manii azina pa kutokea jaribu kupiga nyeto Kwa wiki 1 lazima tatizo liishee
[emoji445][emoji445][emoji445]asante mkuu nimesema vaselline sababu me nikinyoa napaka na kuna kuwa kuzuri sana