Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

Ukiangalia mitandaoni hili tatizo lipo tu na tiba ni kutumia baby powder kila wakati.

Hakikisha sehemu inakuwa dry mda wote kila baada ya kuoga hata kama ukiwa unatembea jaribu kuwa na tissue paper na kujifuta ukiwa faragha.

Angalia mwingine huyo ana tatizo kama lako
 
Kwa hiyo akifika hospital daktari akimuuliza mgonjwa una tatizo gani ajibuje?Maana huo ni ugonjwa gani?
 
Usivae boxa za mpira, vaa za cotton zisizobana halafu ukioga futa vizuri kukauke ukiwa nyumbani vaa bukta tu uwe unapata upepo halafu ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…