Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

Ukiangalia mitandaoni hili tatizo lipo tu na tiba ni kutumia baby powder kila wakati.

Hakikisha sehemu inakuwa dry mda wote kila baada ya kuoga hata kama ukiwa unatembea jaribu kuwa na tissue paper na kujifuta ukiwa faragha.

Angalia mwingine huyo ana tatizo kama lako
6a5333b2c2c87abc889845d52cfe1075.jpg
 
Kuna deodorant fulani ya forever living inaitwa ever shield, embu jaribu kuitumia hiyo uone...ni nzuri pia kwa wenye harufu kali za jasho..kuna watu kweli naturally wana strong hormones ndo inaleta hiyo shida.. wengine nasikia wanashauri kusugua kwa ndimu..lakini sasa kama hiyo inatokea huko southern hemisphere inaweza kuwa changamoto pia.. mwisho wa yote jaribu kwenda hospitali kusikiliza wataalamu na utaalamu unasemaje unaweza kupata suluhisho.. pole sana ndugu
Kwa hiyo akifika hospital daktari akimuuliza mgonjwa una tatizo gani ajibuje?Maana huo ni ugonjwa gani?
 
Usivae boxa za mpira, vaa za cotton zisizobana halafu ukioga futa vizuri kukauke ukiwa nyumbani vaa bukta tu uwe unapata upepo halafu ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom