Mwili wangu unatoa umeme?

Mwili wangu unatoa umeme?

Nimewahi kuambiwa kwamba hii inatokana na kushika vitu vya umeme uwe ni mkubwa au mdogo ambavyo havina proper earth/ ground discharge. Kumaliza hilo tatizo ni lazima ushike kitu ambacho kina mfumo sahihi wa ku discharge ili kuondoa hiyo statics. Sina uhakika kama ni maelezo ya kitaalam
 
Nashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika kwa muda vitu hivyo hali huwa shwari.
Kama kweli tuuzie basi kwa bei rahisi...tanesco wana gharama kubwa
 
Dah tunakatiwa umeme kumbe kunamajitu yanapaswa yafungwe transfoma watu tupate umeme majumbani huku tukila milo mitatu kama alivyoahidi rais wangu ninaemtambua katika katiba ya kichwa changu!"lowasa"
 
Ww sasa habar ya power bank kwako hazina kazi full cherge kila mda simu yako.

Natural energy hio haiitaji conection ya nyaya.

Tumia kwa manufaa yako chajisha cm kwa kuanzia.

Biashara ikishamiri utawasha na umeme kabsa kwako uachane na tanesco
 
Hayo ni matokeo ya Static electricity ambapo electron nyingi huwa zipo kwenye ncha ya vitu kama milango kwenye zile angle n.k. unapokuja kugusa ndio unakuta flow ya hizo charges inatokea na kusababisha hiyo shoti.
 
Dah tunakatiwa umeme kumbe kunamajitu yanapaswa yafungwe transfoma watu tupate umeme majumbani huku tukila milo mitatu kama alivyoahidi rais wangu ninaemtambua katika katiba ya kichwa changu!"lowasa"
Dogo, jaribu kuwa na staha na heshima kwa binadamu mwenzako. Huyo ni binadamu kama wewe.
 
Sipati picha ukiwa katika mgegedo nadhani eneo la tukio linakuwa limetapakaa cheche tupu.
 
Sipati picha ukiwa katika mgegedo nadhani eneo la tukio linakuwa limetapakaa cheche tupu.
Hapana ni tofauti kabisa na unavyofikiri, kuna jamaa kasema eti ni kwa vile situmii kilevi wala soda ni maji na chakula tu je ndo chanzo hicho?
 
Mkuu humu utapata tu ushauri ila nenda hospitali mkuu kule ndipo gereji ya mwili wa binadamu...!!!
 
Mwili wa binadamu uwa unazalisha chaji(static electric) ambazo hupelekea hali kama hiyo kutokea unapogusa vitu vya aina hiyo.Ndio maana kwenye mazingira ya kazi kama Gas Plants moja ya safety procedure kabla hujafanya maintenance uwa kuna kifaa unatakiwa ukishike kwa ajili ya kutoa chaji zote mwili then ndio unaendelea na kazi.
 
Nashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika kwa muda vitu hivyo hali huwa shwari.
Yah, mwili wa mtu una6volts AC, so that is reality, just find a way to prove that
 
Mkuu nahitaji unit Kama 100 hivi utaniuzia bei gan mana hawa tanesco wakwao ni ghali sana
 
Back
Top Bottom