Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,637
- 673
Nimewahi kuambiwa kwamba hii inatokana na kushika vitu vya umeme uwe ni mkubwa au mdogo ambavyo havina proper earth/ ground discharge. Kumaliza hilo tatizo ni lazima ushike kitu ambacho kina mfumo sahihi wa ku discharge ili kuondoa hiyo statics. Sina uhakika kama ni maelezo ya kitaalam