Kama kweli tuuzie basi kwa bei rahisi...tanesco wana gharama kubwaNashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika kwa muda vitu hivyo hali huwa shwari.
Especially kama hujapiga game kwa zaidi ya week 11...watu wote wanaexperience hali hiyo
Dogo, jaribu kuwa na staha na heshima kwa binadamu mwenzako. Huyo ni binadamu kama wewe.Dah tunakatiwa umeme kumbe kunamajitu yanapaswa yafungwe transfoma watu tupate umeme majumbani huku tukila milo mitatu kama alivyoahidi rais wangu ninaemtambua katika katiba ya kichwa changu!"lowasa"
Yah, mwili wa mtu una6volts AC, so that is reality, just find a way to prove thatNashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika kwa muda vitu hivyo hali huwa shwari.