Mwimbaji Aubrey O'Day(35) amesema ndoto yake ni Barack Obama(57) aje kumchangia mbegu zake za kiume

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Mwimbaji Aubrey O'Day(35) amesema ndoto yake ni Barack Obama(57) aje kumchangia mbegu zake za kiume(sperm donor) ili apate mtoto, huku akimsifia Obama kuwa ni handsome, anayejielewa, mkarimu, mcheshi etc akiongeza kuwa ni sifa ambazo wanawake wengi wanazitaka Kwa mwanaume na ndio maana Obama amempata mwanamke wa aina yake yaani Michelle Obama
 
Sasa hapa cha Ajabu Kwako ni nini? Miswahili bhana!
 
Aliekuwa festi ledi katoa maoni gani? Naona huyu mwimbaji anataka tifu kuu!
 
Back
Top Bottom